NANI anazidi U-HANDSOME wa PESA?

50cent rapa maarufu wa marekani akihojiwa alisema: sikuhizi msichana akikwambia wewe ni sexy, uwa ana maanisha wewe una pesa, wewe ni maarufu, wewe una majumba na magari. Kama huna pesa you are not sexy

Kweli warembo handsome wao ni :$$$$$$$:$:$:$:$:$:$:$:$:$:$:$:$:$$$$$
 
Si huyo bwamdogo anatangaza uzuri bila pesa.
Hapa pesa mbele kama fundo la msuli.

Ona sasa kukosa hela huku,sasa naitwa bwana mdogo,ngoja zijae,majina yote mazuri nitaitwa mimi,handsome,mheshimiwa,bosi nk.
 
eti"hata kama mweusi" ivi weusi ni majanga kiasi hicho we mtoa mada? Kwa taarifa yako wanaume sexy ni weusi. Naongea km mwanamke
 
eti"hata kama mweusi" ivi weusi ni majanga kiasi hicho we mtoa mada? Kwa taarifa yako wanaume sexy ni weusi. Naongea km mwanamke

Soma tena,nimesema MWEUSI MNO(weusi uliopitiliza).
Japo najua wasichana wengi weupe hawapendi wavulana weupe.
 
Ona sasa kukosa hela huku,sasa naitwa bwana mdogo,ngoja zijae,majina yote mazuri nitaitwa mimi,handsome,mheshimiwa,bosi nk.

Nini handsome, nitakuita hata Baby ilhali umri wako na Kingunge mmepishana siku 5.
 
Lol!kwa staili hii biashara ya sembe itadumu,si ajabu hata tembo wetu kuzidi kuwa mashakani!

Ngoja nimtafte mzee wa ndovu tupige dili la kuwapeleka tembo ahela lakini meno yao tuyapeleke china,nikirudi na dollars,euros,paunds nanyoka moja kwa mok kwa MADAME B.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…