Nani anayefundishwa uongozi na Humphrey Polepole?

Pole pole alipata Division Zero Form Six pale Benjamin Mkapa
 
Slow x2 ni chizi. Inaelekea ana ID kibao humu ana post na kujibu.

Huko alikotoka alikuwa kibosile fulani, fuatilieni kwanini alilazimishwa kujiuzulu uongozi ??

Kiongozi gani pumbafu anavaa "hood" na kufanya uchizi comedy, halafu ... wacha niishie hapa
 
Sisi vijana wewe achana nae...
 
Hovyo kabisa. Huyu MushI huwa simwelewi kabisa. Kosa la Polepole night lipi. Ana master degree ya uongozi, kwanini asifundishe?
 
Sioni tatizo katika hilo walio tayari watafuatilia, na wasio tayari watafanya mambo mengine.
 
Hajaanza leo kaanza muda tokea mwezi wa 6 huko
 
Sijawahi kumuelewa huyu KADA MWENZANGU....

Sijawahi kwa kweli.....

Sidhani kama kweli ameiva ITIKADI YA CHAMA CHA MAPINDUZI.....

Ili itikadi njema ya chama chetu ikuingie vyema pia hutegemeana na HULKA NA TABIA......HULKA HULKA HULKA NA TABIA......


#SiempreCCM
#SiempreChifuMkuuHangaya
 
😍
 
Yaan kipofu aongoze njia 😂 😂 aisee hatari yaan kipofu yan kipofu sijui yan Polepole amfundishe nani sasa!!
 
uongozi ni kipaji anachozaliwa nacho mtu, elimu huwa inaongeza baadhi ya vitu kwa mtu mwenye kipaji. Ndio maana unaweza kukuta mtu ana elimu kubwa lakini akipewa uongozi anashindwa.
 
Unamuonea wivu Polepole kwa sababu amebuni kitu ambacho ni kizuri, kina manufaa na unique.

Unampinga lakini wakati huo hui unakiri China wana utaratibu wa kuandaa viongozi. Huoni anachofanya Polepole kina muelekeo huo huo kama wa China japokuwa aporoach ni tofauti kidogo sababu kule ni state owned na yeye hapa anajitolea.
 
Mbona sisi wengine tunamuona Polepile ana jambo la kutufundisha.
 
Ana kosa; kwanza anahoji nani ni mlengwa wa hayo mafunzo, pili anayakosoa kwa kulinganisha na yale ya China , tatu anajaribu kumchonganisha.

Mafunzo yanapotolewa kwenye media tena free siku zote yanamlenga yule anayeona a anayahitaji maana hakuna anayelazimishwa kuyafuatilia. Marekani watu wakishashika madaraka makubwa baada ya kutoka madarakani hujiunga na taasisi mbalimbali ( think tank) au universities na kutumia uzoefu wao katika kuelimisha au utafiti wa masuala mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…