nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
Sawa khursa, vipi waliwa wewe?Inaonekana hili tukio limewauma sana sana mpaka mnaleta stori za Alfu lela ulela.
Ushauri:sumu ya panya inauzwa shilingi 200 tu nyote mnakaribishwa.
tunawaelimisha sisi ni anti virus, viruses zikileta ujinga tunaziangamiza na kufanya fumigation. It is war against fake news.Inaonekana hili tukio limewauma sana sana mpaka mnaleta stori za Alfu lela ulela.
Ushauri:sumu ya panya inauzwa shilingi 200 tu nyote mnakaribishwa.
Magufuli a one term presidentInaonekana hili tukio limewauma sana sana mpaka mnaleta stori za Alfu lela ulela.
Ushauri:sumu ya panya inauzwa shilingi 200 tu nyote mnakaribishwa.
Mkuu wewe unacheza na kichapo cha Mungu, huyo Kikwete mnaejifanya kumsifia sasa hivi si mlimchukia mkamchafua kweli mpaka Mungu akakasrika akaamua kutoa adhabu ya maana mpaka saa hizi watu wanaomba po!tunawaelimisha sisi ni anti virus, viruses zikileta ujinga tunaziangamiza na kufanya fumigation. It is war against fake news.
mliomba wewe na nani? huko kolomije au CHATU CITY? au ndo nyie mnaomba bashite awe rais 2025?Mkuu wewe unacheza na kichapo cha Mungu, huyo Kikwete mnaejifanya kumsifia sasa hivi si mlimchukia mkamchafua kweli mpaka Mungu akakasrika akaamua kutoa adhabu ya maana mpaka saa hizi watu wanaomba po!
Acheni malalamikolalamiko ya kukufuru mwisho wa siku tutakuja kuletewa mtu ambae atataka tuwe tunalala kuanzia saa tisa hakuna kuzurula mtu nje, Mungu hua hapend malalamiko yasiyokua na tija.
Nyinyi ndo mnaojifanya mnasahau yaliyofanyika kipindi cha Kikwete.mliomba wewe na nani? huko kolomije au CHATU CITY? au ndo nyie mnaomba bashite awe rais 2025?
View attachment 1109401
TUNACHOKUMBUKA NI YEYE KUTULETEA BOMU na kuchagua bashite kama mkuu wa wilya, he is the one to blame.Nyinyi ndo mnaojifanya mnasahau yaliyofanyika kipindi cha Kikwete.
Wasukuma wacheni kelele leteni pesa katika mzunguko c mwazimaliza nyinyi tuuMkuu wewe unacheza na kichapo cha Mungu, huyo Kikwete mnaejifanya kumsifia sasa hivi si mlimchukia mkamchafua kweli mpaka Mungu akakasrika akaamua kutoa adhabu ya maana mpaka saa hizi watu wanaomba po!
Acheni malalamikolalamiko ya kukufuru mwisho wa siku tutakuja kuletewa mtu ambae atataka tuwe tunalala kuanzia saa tisa hakuna kuzurula mtu nje, Mungu hua hapend malalamiko yasiyokua na tija.
Hata Kikwete mwenyewe sasa hivi atakua anatucheka kweli, tulijifanya hatutaki mbichi hizi sasa tumeletewa mbivu, na tukijifanya kuendelea kulalamika tutakuja kuletewa zilizoiva mpaka zimeoza.
Term=10 yearsMagufuli a one term president
Sawa khursa, vipi waliwa wewe?
Wewe najua sasa hivi swaumu inakupelekesha kichiziTerm=10 years
Wewe najua sasa hivi swaumu inakupelekesha kichizi
Alivyowafanyia watanzania wenzako Korosho kusini wewe unamuona anafaa kweli tena kwa maksudKwanini unaumia roho Mtanzania mwenzako Dr Magufuli akishangiliwa huko Bondeni? Yes