Keynez JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 3,643 Reaction score 6,569 Dec 1, 2017 #1 Nimewahi kuona siku za nyuma mtu anajitangaza hapa kuwa anatengeneza application za simu ila nimeshindwa kuupata ule uzi. Nahitaji hii huduma kwa bei nafuu.
Nimewahi kuona siku za nyuma mtu anajitangaza hapa kuwa anatengeneza application za simu ila nimeshindwa kuupata ule uzi. Nahitaji hii huduma kwa bei nafuu.