ama kweli kifo sio.mchezo mtu akiona hilo dude anatetemeka kweli hahaha...kuna mzee mmoja hajajaliwa kupata watoto yupo na huyo bibi mke wake akachonga majeneza 2 akasema anajua hata wakifa hakuna wa kuwanunulia maana hawana watoto..tangu 2004 mpaka leo wapo tele kila mwaka anayapaka rangi fresh na.kuyarudisha ndani tulishamzoea na tunaona kawaida..
ila huyo na pozi lake hilo mh..hii ni kutafuta umaarufu