M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 8,097 Reaction score 10,946 May 14, 2019 #1 Kuna online shoping website nimeiona inaitwa BEROGENGE! Wamejitambulisha kuwa wana Ofisi pia DSM1 Naomba kufahamu kama kuna mtu anawajua na huduma zao!
Kuna online shoping website nimeiona inaitwa BEROGENGE! Wamejitambulisha kuwa wana Ofisi pia DSM1 Naomba kufahamu kama kuna mtu anawajua na huduma zao!
alsam JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 239 Reaction score 369 May 14, 2019 #2 Kwa hili jina Kuwa makini BEROGENGE halafu iwe online shopping haya ukijua nasi tuambie