Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
Guess this is personal, ndio maana Ume subiri saa 9 ili uvizie kujibu.Dogo umekosea kiingereza usiwe mbishi. Unarekebishwa unashupaza shingo. Huwezi andika that is make you run and hide. It is wrong grammatically.
So its not about dissing and bullshit. It's wrong grammatically. And i was kindly correcting you. But it seems like you are a stiff necked nincompoop.
Thats the problem with you teenagers/kids nowadays. You aint no respect for your elders and parents. Where I am our hours aint the same like yours in Tz.Guess this is personal, ndio maana Ume subiri saa 9 ili uvizie kujibu.
First mimi sio nincompoop like any person in your cycle mzee, Ina wezekana ndio kwenu wote mlivyo.
pili mimi sio dogo, cause huna ball's za kutosha za kuwa senior wangu hata siku 1 kwenye issue yoyote, narudia yoyote.
shampi bascudo le kikis
ona Sasa hiki unacho fanya?, halafu una taka respect Kwa kuunga unga vimaneno.. You aint no respect for your elders and parents. Where I am our hours aint the same like yours in Tz.
.
Ona tena hii mambo ya kiwaki una fanya, the so called corrector as you presume yourself to be so.I aint no gonna force you .
Sasa onesha hiyo sentence imekosewa wapi. Ukinionesha kosa mi nitaondoka marekani nirudi Tz haraka sana.ona Sasa hiki unacho fanya?, halafu una taka respect Kwa kuunga unga vimaneno.
you ain't no respect for your elders, uwii 😂😁,
yaani hata kuonyesha utofauti wa masaa una kuwa Kama ume meza dawa ya mwarobaini.
Toa ujinga wako, aisee😂😂😂.Sasa onesha hiyo sentence imekosewa wapi. Ukinionesha kosa mi nitaondoka marekani nirudi Tz haraka sana.
Wewe unampa tv,yeye anakupa hela!mmeuziana Mkuu sio kumpa.Samsung Orginal inch 32 used from Japan
Tv ipo safi kabisa
Ipo Tabata
250,000/= tu
Contact:0757187238
View attachment 3145848
Watu wa hivyo hua hawakosekani,
Tuishi nao tu hivyo hivyo.
Bei ni bei wakikubaliana,unakuwa bei sahihi,we mihanyenye vipi!Sio uchawi,kabla hujatangaza bei ya biashara yako ni vema ukajua sokoni bidhaa kama hiyo inauzwaje Ili kuweka bei sahihi
Upo sahihi mkuuWe
Wewe unampa tv,yeye anakupa hela!mmeuziana Mkuu sio kumpa.
Hii vita ni kaliOna tena hii mambo ya kiwaki una fanya, the so called corrector as you presume yourself to be so.
yaani ni kwamba hujui matumizi ya ain't na no, mpaka una rudia mara 2.🤔
Nioneshe nimekosea wapi hicho kiingereza.mimi nlikuonesha. Nioneshe ili niondoke huku US maana hakunifai sasa.Toa ujinga wako, aisee😂😂😂.
View attachment 3322378
Mimi nashangaa the so called corrector, ana shindwa kujua matumizi ya ain't na no 😂😂.Hii vita ni kali
dUh so Mr corrector hujui matumizi ya ain't na no, katika kuonyesha negativity ya jambo jambo au mtu.Nioneshe nimekosea wapi hicho kiingereza.mimi nlikuonesha. Nioneshe ili niondoke huku US maana hakunifai sasa.
Kwa ujinga huu hustahili hata muda wangu, keep rocking mr shampi bascudo le kikis.Thats the problem with you teenagers/ You aint no respect for your elders and parents.
.
Nikupe hela ukanichukulie mbili?Kariakoo unapata Inchi 43 kwa Bei hiyo
Nlijua shida ipo wapi 🤣🤣🤣. That was slang. American English.not RP or British. Hata Jamaican or Patois pia hutumia two negation.dUh so Mr corrector hujui matumizi ya ain't na no, katika kuonyesha negativity ya jambo jambo au mtu.
hadi una zirudia na kuziweka katika sentesi Moja?
Hata kuonyesha utofauti wa muda katika eneo, nalo ni Kama una kunywa mzizi!
Kwa ujinga huu hustahili hata muda wangu, keep rocking mr shampi bascudo le kikis.
🤣🤣🤣 Kaharibu diliBro huu ni uchawi kwenye biashara za watu, sio poa.....
Dah nilishaiuza MkuuNikinunua inakuja na hizo picha?