Hujaona Angola?🤣🤣🤣Madeni mengine ni kujiabisha Tu..
Austria wanadai ngapi?
Pro nato watakuja kupinga
Iran wangekua mbali sana maana ni watu wenye akili sana, kinacho waponza na kuwakwamisha ni pale waliingia mkenge wa dini ya mwarabu...
Iran siyo waarabu ni wayahud ni vichwa sana kinachowafelishani kobasHalafu wao wenyewe hujiita persians hawataki kuitwa waarabu na muda mwingine hujiita real jews
Hiyo ni TOZO ya siku 3 tu hapa tz.Tsh trilioni 1.48 hata rostam anazo kwenye mfuko wa shati.
Iran wangekua mbali sana maana ni watu wenye akili sana, kinacho waponza na kuwakwamisha ni pale waliingia mkenge wa dini ya mwarabu...
Na Turkey je wao why wako mbali?
Wewe Una hate na Iran...mbona Saudia Arabia wako Sawa na Iran kiimani lakini hawana maendeleo ya Iran?Turkey hawajaingia kichwa kwa hiyo dini, Iran wamejitwika uzombi kabisa, mara mayatollah sijui na makitu gani ya kidini.
Wewe Una hate na Iran...mbona Saudia Arabia wako Sawa na Iran kiimani lakini hawana maendeleo ya Iran?
Saudia ndio chimbuko la huo uzombi wa kidini, wala huwa hata siwafuatilii maana ndio miarabu yenyewe haswa.
Lakini Iran ni watu wenye akili sana, the Persians, wangekua mbali isingekua uzombi wa hiyo dini ya mwarabu, kwanza mababu zao walichinjwa sana wakati hiyo dini inaingizwa humo.
Mbona nyinyi Kenya mumeachwa mbali Sana na Uturuki na Iran Kama unafikiri kuwaabudu westerners ndo ujanja?
Ndo deni hilo sasa,Hujui kwamba rostam ana asili ya Iran?
Ww nchi yako kenya ambao hamjaingia mkenge wa dini ya waarabu mko wapi?Iran wangekua mbali sana maana ni watu wenye akili sana, kinacho waponza na kuwakwamisha ni pale waliingia mkenge wa dini ya mwarabu...