Nani anasema Iran maskini?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,513
Kuna watu huwa wanasema Iran ni maskini lakini cha ajabu sisi Tanzania tunaikopa Iran, wanatudai Trillion 1.48.

Week iliyopita WB waliitaja Iran kushika No.21 kwa kuwa na uchumi mkubwa duniani. Iran ni moja ya mataifa yaliyoendelea kwenye mapinduzi ya viwanda na teknolojia duniani.

Sasa wale ndugu zetu mnaotuambia Iran ni maskini mmetumia kigezo gani..?? Toka lini nchi maskini inakopesha hela??

 
Hata Angola ni matajiri kwa sababu wametukopesha bilioni 12[emoji16]
 
SITOSHANGAA SOMALIA INATUDAI PIA... SISI KILA MTU TUNAMUONA FURSA YA PESA...
 
Tararibu mkuu wayahudi w kwa mtogole wapo site
 
Tararibu mkuu wayahudi w kwa mtogole wapo site
 
Si kila deni linatokana na kukopeshwa fedha.
Ukopaji wa bidhaa pia unazalisha madeni.
Inawezekana tulikopa mafuta.
 
Labda benki ya dunia ya Buza kwa mpalange
Ww jamaa umejaa uharo kichwani badala ya ubongo kabla ya kupinga hizo data ww leta za kwako.
Nenda kwenye mtandao wao uangalie ili tuone data hizo kama ni uongo.

Ww kuumia kwako kuona Iran imeendelea bila hao miungu watu wa kimagharibi hakuta badilisha chochote.
 
Mbona kama unailinganisha Iran na Tz?

Sasa hiyo tri 1.5 kwa nchi tajiri wa Mafuta ulilenga nini hasa?
Iran ni maskini lkn kwa ulinganifu wa nchi za level zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…