Nani anamwonoza mwenzake

Sawa....lakini direction ya vivuli inatia mashaka!
 
Sawa....lakini direction ya vivuli inatia mashaka!

Mkuu hyo ni mmoja kati ya mbwa 15 wakubwa duniani.. Na huyo si mkubwa zaidi kuna wakubwa zaidi ya huyo..
 
Reactions: SMU
Kamwe kipofu hawezi kuongoza kipofu mwenzie,
 
Putbull nini Huyo? Ila hao mbwa ni hatari sana ni kweli Huyo sio Mkubwa wapo giant zaidi ya Huyo...Kuna jamaa flan anao anauza 15m.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…