M manrichie Member Joined Jan 4, 2016 Posts 18 Reaction score 4 Jan 6, 2016 #1 Wadau nipo njiani kurudi nyumbani nasikiliza clouds fm. Namsikiliza Mabrouk Sabri anaongelea juu ya nauli toka kimara hadi posta kwa sh 1,200. Anayemjua vyema plz anifahamishe.
Wadau nipo njiani kurudi nyumbani nasikiliza clouds fm. Namsikiliza Mabrouk Sabri anaongelea juu ya nauli toka kimara hadi posta kwa sh 1,200. Anayemjua vyema plz anifahamishe.