Nani anamfadhili mtu huyu?

Mwanaharakati huru anajulikana anayemtuma ndio maana alikuwa na vijana wa vitengo. Yaani hiyo jana tayari mipango yao imekwama tungesikia kuna mtu katoweka na watu wasiojulikana.
 
Wanatumikia matumbo yao hapa utawalaumu tu
Njaa haina aibu.
 
Mjue ujasusi wa kidola na wa kitaifa!wakidola haufuati sheria kama wakitaifa!!ndo mana jiwe kaandaa ujasusi huu kumsaidia kwenye uharamia!!!!KIGOGO 2014 WHERE ARE U???
 
Hapa tulipo fika ni hakika tupo kwenye kingo ya mto wenye mamba wakali na wenye njaa
 
Pamoja na kupekuliwa na kutaifisha baadhi ya pesa zake za kifisadi bado tu anafanya yale yale basi Jiwe alifanya senema na bado anamfadhiri jamaa kufanya uhalifu.

Mkuu mahaba na jiwe yamezidi. Utakuwa na Shida sana. Embu funguka. Mana Siasa tu tena za kiafrika mtu hawezi kuwa anaumwa ugonjwa wa dozi Kumtaja mkuu wa nchi.
 
Porojo
 
Funeral??
Hizi fasihi ni shiidaah!

Everyday is Saturday........................... 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…