Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Dah Hudda ana viuno vyake fulani hivi aaah umenikumbusha Revolaaa ,Revolaaa ..naona mpenzi lotion amegoma kuitika sio kesi wacha nimtafute mpenzi sabuni....Mbuuni ! abeee, njoo mama huku tuyajenge
 
Mi huwa nakerekwa sana ninapoona mnavisifia vitakataka visivyofikia hata robo ya my mchepuko.

5018-portrait-of-a-beautiful-african-american-teen-girl-posing-in-the-woods-pv.jpg
Unaita watu takataka wakati huyu wa kwako yupo kama Bolo Young ? Kama unabisha mzamishe kwenye swimming pool uone alivyo
 
Ingawa wanasema uzuri Upo kwa anayeona(beautiful is on the eye of the beholder)

Pia ingawa wanawake ni wagumu sana kueleza hisia zao kwa mwanaume wanayempenda at the first time ila hubaki Na ukweli huo moyoni Na aghalabu hujaribu kuzieleza au kufikisha hisia hizo kwa
Lugha ya mwili(body language)

Jf wanawake Na wasichana hawajawahi kuwashuhudia muonekano Wa men wengi Wa jf
Ila wakati mwingine hushawishika
Kukubali miadi Na hatimaye kuonana ana kwa ana au hata kutikisana nyavu!

Mwanamke huyu je anakuwa amevutiwa Na mwandiko au intelligence ya mwanaume?

Isitoshe wapo wanawake jf ambao hukili wazi kuwa kuna mwanaume anampenda humu ila anahofia kumuanika

Tangu nimekuwa member hapa kwa ka research kadogo(uchunguzi)
Nimebaini mwanaume wafuatao wanashobokewa sana humu
Samahani nitakao wataja bila idhini yenu ashakumu si matusi
Daby,smart 911
Nyani ngabu
Le mutuz
Saint ivuga
B40
The bold
Ontario
Wakina dada fungukeni mnawapendea nini hawa jamaa maana unaweza kukuta ni wapiga debe tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom