elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,747 Sep 17, 2016 #1 Kuna wimbo wa bongo fleva wa earlier 2000s sikumbuki kauimba nani ila chorus iko hivi. Penzi litabaki pale pale (pale) X2 Nakupenda nakuhitaji uwe wangu eeh Nilidhani aliimba adili lakini nadhani siyo yeye. kama kuna mtu anaujua anisaidie.
Kuna wimbo wa bongo fleva wa earlier 2000s sikumbuki kauimba nani ila chorus iko hivi. Penzi litabaki pale pale (pale) X2 Nakupenda nakuhitaji uwe wangu eeh Nilidhani aliimba adili lakini nadhani siyo yeye. kama kuna mtu anaujua anisaidie.