Nani amemkwamisha Tajiri Diamond kununua private jet?

Alianza kusema ananunua RR 2015 lakini kapigana na miaka ikaenda lakini hatimaye akalinunua, ukiperuzi humu JF threads za kitambo utaona vichambo alivyokuwa akipewa kwa kuahidi kuwa atanunua RR hivyo basi hata suala la private jet kwa kuwa ameshasema obvious amenuia na ni suala la bank-balance kukaa sawa atalitimiza.
The dude has big dreams na ukiangalia picha zake za zamani yaani background yake it's one damn humble background, wengi wenu humu mmelelewa with privileges lakini sidhani kama mna ndoto kubwa kama alizonazo yeye.
 

 
Miye anachonishangaza huyo tajiri bado anasota nyumba ya kupanga sijui kwanini hajengi hekalu lake.
 
Truth
 
Sema masikini huwa anaona fahari kujenga nyumba yake (hajui ya kuwa anazika mamilioni ambayo kama angefanyia biashara angeondokana na umasikini).

Matajiri wengi anaona kuzika lets say 250 million kwenye ujenzi its better hiyo hela iendelee kuwa kwenye mzunguko, then atapanga kwenye nyumba nzuriii kwa 10 to 15 mil kwa mwaka!
 
Ndege ishafika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…