Nani aliyeweka "mtego" wa ruzuku kwa vyama vya siasa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
97,869
171,689
Huu mtego kamwe wapinzani hawawezi kuutegua.Huwa najiuliza mbona Simba na Yanga ni vyama visivyo na ruzuku ktk michezo lakini viko imara?Kama si ruzuku sidhani kama lipumba angejirejesha Cuf au Zitto kuwa KC!Na ili CCM itawale milele ni lazima ruzuku kwa vyama vya siasa iendelee kuwepo.Huu ni mtazamo wangu tu.
 
Vyama vingi na ruzuku nadhani hayo ni masharti tuliyopewa ili tupewe misaada, sio hisani ya CCM, wangeweza kuvifuta ila ndio hivyo nchi masikini
 
ni mtego

nakumbula thread yangu ya kwanza mwaka 2008, ruzuku haina tija, it weakening them
 
Back
Top Bottom