Nani aliyepanga haya mauaji ya hawa Marais Abraham Lincoln na John Kennedy?

Huo ni mkakati malum wa secret society aka the freemasonry,hawa waliambiwa waanzishe civil war,wakat vita hizo zitakapo tokea marekani itakuwa haina pesa ya ku sustain wakat wa uchaguzi,hivyo hawa secret society wao watakuwa ndio wafadhiri wakubwa wa muda huo vita ikipiganwana pia katika kuijenga america,hivyo kuifanya marekani iendelee kuwa chini yahimaya yaao,na hii sio marekani tuu bali nchi zote duniani lazima ziendelee kudaiwa na kundi maalum la watu ili kutawaliwa na hawa freemasonry society,basi ilivyotokea hivo huyu Abraham Lincoln alivyokuwa raisi akakaidi amri hiyo aka print pesa maalum yaani greenbucks ilizitumike muda huo wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe,vita ambayo pia ilianzishwa ki makusudi nakundi hilohilo pia,alivyokaidi ndio wakamuua,hata JF kenedy pia aliponzwa na kitu hicho hicho,kwa majibu zaid pakua kitabu kinaitwa THE BIGGEST SECRETY na AND THE TRUTH SHALL SET YOU FREE vyote vimeandikwa na David Icke
 
Ni Illuminati,na ushahidi upo tele!
 
Hii dunia na conspiracy theories zake nachoka ,kuna watu wanafikiria wataishi milele
 
Kufanana kwa JF Kennedy na Abraham Lincoln
  • wote walizaliwa miaka inayoishia na 13.
Lincoln ni 1813 na Kennedy ni 1913.
  • wote walichaguliwa kwenye "congress" miaka inayoishia na 46.
Lincoln ni 1846 na Kennedy ni 1946.
  • wote walishindwa kuwa "makamu wa rais" miaka inayoishia na 56.
Lincoln ni 1856 na Kennedy ni 1956.
  • wote walichaguliwa kuwa "marais" miaka inayoishia na 60.
Lincoln ni 1860 na Kennedy ni 1960.
  • wote walifiwa na "mtoto" wakiwa ikulu
  • katibu mkuu wa Lincoln aliitwa Kennedy na katibu wa Kennedy aliitwa Lincoln.
  • "makamu" wa Lincoln aliitwa Johnson,alizaliwa 1808 na wa Kennedy aliitwa Johnson,alizaliwa 1908.
  • wote waliuawa IJUMAA na wote walipigwa risasi kichwani.
  • muuaji wa Lincoln aliyeitwa "John Wilkes Booth" alizaliwa 1839 na muuaji wa Kennedy aliyeitwa "Lee Harvey Oswald" alizaliwa 1939.wote majina yao yana herufi 15.
*************************************************************************
 
Umenishonda tabia
 
Eiyer kubali kwanza copy &pest kama kweli ungefanya tafiti ushiriki wako usinge kua hafifu hivi ungekua na mchango mkubwa kutokana changamoto ulizopiti wakati wa tafiti.
Tulia mkuu, na wewe nenda kacopy uje upaste hapa tusome basi khaaa
 
Hii thread ni ya kitambo kidogo aisee umenikumbusha.....

MSEZA MKULU njoo usome na haya hapa,sijui kama ulishawahi kukutana na hii kitu na kama ulishawahi kukutana nayo safi sana....

Haya majamaa huwa yanapangilia mambo haswa....
ngoja nitaipitia mida mida kisha nitie neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…