Nani aliyemuumba Mungu?

Nipe mfano wa alieielewa mada yako?
 
What is your point
Point ni kwamba kila neno lina maana yake na matumizi yake ndio maana nataka kujua hao wanaoitwa Mungu ni kwamba kwanini wameitwa hivyo? Ulisema kuwa wengine wanaleta mvua na wengine jua ndio wakaitwa Miungu, ndio nikakuuliza Uungu ni kuleta mvua au jua ndio maana hao wanaoleta mvua na jua wakawa miungu?
 
Kwaiyo we unakubaliana na kauli yangu kua ndio hitimisho wa swali lako kua kisichopo hakithibitishiki hakipo?

Kama nilisema kisichopo hakithibitishiki kua hakipo je we ulikubaliana na mimi kua kisichopo hakithibitishiki?

Hiyo kauli niliitoa wayback kabla sijapata maarifa mapya, saizi nimeiva najua kuthibitisha visivyopo.
 
Hana "a. k. a" nimekwambiaanayo majina zaidi ya mia na yote yanaelezea uungu wake na sifa zake.
Yaweke sasa hapo ili wote tuyaone mbona nyie tumewatajia miungu ya wenzenu bila shida

Au taja jina lake ambalo ni maarufu linalojulikana na watu wengi ili tujue pakuanzia wapi
 
JE WANADAMU NI WATUMWA WA MUNGU??

YAANI MIAKA YOTE NDO WAKO BUSY KUMTETEA NA KUMSEMEA YEYE WALAAA YUKO ZAKE KIMYA
Angekaa kimya pengine tusingejua kama Yupo, utawezaje kujua kama kuna Mungu na yote yenye kumhusu yeye kama sio yeye kueleza?
 
Huyo anaelezwa kwenye vitabu vya dini sio MUNGU bali ni muungu.

MUNGU gani
1 Ana mikono
2 ana miguu
3 ana hasira
4 ana wivu
5 anatanya kikao na washirika wake

Huyo sio MUNGU BALI NI muungu(kiumbe)
Eleza kwanza kwanini Mungu hapaswi kuwa au hana hivyo vitu?
 
Al karim sijui alikasusu hapa havi-make sense, hata mtu akikosea kuvitaja au apatie kuvitaja hiyo haithibitishi kua character wa majina hayo wapo in real.

Hata dini za wenzako zinahitaji zisomwe na kila ambaye anashikilia dini aliyoisoma huamini kua kisomo alichokipata kwenye dini hiyo ni cha kweli kuliko dini nyingine.

Leo hii unaweza kum-criticize mtu anayeamini mungu wa zeus kua amepotoka pasipo hata kusoma dini yake

The same way tunaweza ku criticiz mungu wako pasipo kuhitaji kuingia darasani kuisoma dini yako. So point ya kusema sijui unatakiwa usome hii ni pointless.
 
Kwaiyo we unakubaliana na kauli yangu kua ndio hitimisho wa swali lako kua kisichopo hakithibitishiki hakipo?
Suala la kukubaliana au kutokukubaliama ni suala lingine, ila nimetumia kauli yako kuthibitisha ya kuwa hukuwahi kuthibitisha kutokuwepo kwa Mola zaidi ya kupoteza muda tu.
Kama nilisema kisichopo hakithibitishiki kua hakipo je we ulikubaliana na mimi kua kisichopo hakithibitishiki?
Sikubaliani na wewe kwa sababu nyingi, na hizi hapa chini ni baadhi :
1. Akili ya mwanadamu haina uweso wa kujibu juu ya kila kitu, mpaka ipatiwe msaada kwa yale ambayo haiwezi kuyadiriki.
2. Hiyo ni kauli ya kifalsafa ambayo kiuhalisia ilitakiwa ithibitishwe lakini sababu falsafa imejengekea katika dhana,mmeshindwa kuthibitisha kwahiyo inabakia kuwa ni kauli tu isiyo kuwa na taathira yoyote zaidi ya kujifariji tu.
3. Mnae mkanusha hamumjui na huku ni kuikosea adabu elimu na kuujujumu ukweli.
4. Ambacho hakipo kinathibitishika ya kuwa hakipo, kama ukikijua kitu hicho, ukajua kwanini hakipo, je kilitanguliwa na kuwepo kwake, au ni matokeo ya dhana za mwamadamu katika kusawirisha mambo ?

Tosheka na sababu hizi kwa sasa.
Hiyo kauli niliitoa wayback kabla sijapata maarifa mapya, saizi nimeiva najua kuthibitisha visivyopo.
Nacheka sana, safi sana. Katika safari ya wewe kututhibitishia kweli umepata maarifa mapya, jibu swali hili na usilete utoto wa kwamba "ooo nimeweka hapa ushahidi" hali ya kuwa hujaweka.

Unawezaje kuthibitisha kitu ambacho hakipo ? Yaani kwako wewe baada ya kupata hayo maarifa mapya, unapitia hatua gani kwanza kujua kishopo hakipo kisha mpaka unafikia hitimisho la ithibati ?

Kupitia maswali haya tutajua ya kuwa umepata maarifa mapya au unaleta sanaa kama ilivyo kawaida yako.

Nasema hivi, tuendelee....
 
Yaweke sasa hapo ili wote tuyaone mbona nyie tumewatajia miungu ya wenzenu bila shida

Au taja jina lake ambalo ni maarufu linalojulikana na watu wengi ili tujue pakuanzia wapi
Hakuna jina la Mola wetu ambalo sio maarufu, sababu huwa tunayatumia majina yake katika kumuomba.

Mengine ni haya "ar-Rabbu" "ar-Rahiim", "al-Hayyu","al-Awwalu", "al-Swamadu", "al-Malik", "al-Aakhiru" "adh-Dhwahiru", "al-Baatwinu", "al-Ahad", "al-Quddus" na mengine mengi rejea katika kitabu kiitwacho "al Qawaid al Muthla".
 
Neno huwa na maana katika muktadha ambayo jamii fulani au kikundi kuamua litoea tafsiri litumikaje

Kwaiyo swala la maana ni makubalino tu, leo hii ukienda japan kuna chuo kinaitwa (kumamoto) neno hili linatoa tafsiri safi kulingana na wao walivyokubaliana litumike. Lakini ukija bongo ukisema kumamoto ni tusi tena la nguoni kabisa

Kwaiyo point ya kusema kwanini hao wameitwa mungu unatakiwa uwataje hao wakina nani. Maana mimi naweza nikakuambia eminem kaitwa mungu kwasababu anachana sana pia ni mkali wa diss track kuliko rapa yeyote yule.

Ukinitajia jina la mungu bila kuweka maana unayoikusudia mi nitakuuliza huyo mungu alishanya battle freestyle challenge na rapa gani mpaka akaitwa mungu wakati mungu ni eminem?

Sasa kuepusha huu mkanganyiko weka wazi kila nukta unayoiweka
 
Al karim sijui alikasusu hapa havi-make sense, hata mtu akikosea kuvitaja au apatie kuvitaja hiyo haithibitishi kua character wa majina hayo wapo in real.
Nacheka sana, naendelea kuwaonyesha ya kuwa mnae mkanusha kila siku hamumjui, halafu huu ujasiri wa kumkana msie mjua sijui mnaupata wapi,yaani misingi ya elu hamna kabisa wala adabu zake. Ukweli ni kuwa hampingi asie mjua isipokuwa mtu huyo atakuwa ni mgonjwa wa akili,na wewe ni mgonjwa wa akili.

Sasa ndio ututhibitishie ya kuwa hawako "real" kijana unakwama wapi ? Hapo ulitakiwa uanze kushusha vitu kwamba, huyu "al-Karim" sio "real" kwa sababu hizi zifuatazo, au tuanze kuwafundisha namna ya kubatilisha habari nini ?
Hata dini za wenzako zinahitaji zisomwe na kila ambaye anashikilia dini aliyoisoma huamini kua kisomo alichokipata kwenye dini hiyo ni cha kweli kuliko dini nyingine.
Sahihi kabisa, ndio maana sasa ili kujua nani mkweli na nani muongo, tunajadiliana kama hivi. Ukweli uko wazi kijana, hata waje mamia kwa mamia wakadai ya kuwa wao wako sahihi, sisi tutawaambia "Leteni hoja zenu ikiwa nyinyi mnasema UKWELI". Ukweli unamea popote kijana hata ukiukataa wewe ila wenye akili salama wataukiri kwa moyo, au kwa moyo na kuutamka kwa ulimi na kuutendea kazi ukweli huo.
Leo hii unaweza kum-criticize mtu anayeamini mungu wa zeus kua amepotoka pasipo hata kusoma dini yake
Hili linawezekana kwa kumpa nafasi ya yeye kumuelezea mungu wake kisha tukajadiliana nae, kama unavyoshindwa wewe kuthibitisha kutokuwepo kwa Mola sababu nimekupa wasaa uweke hoja zako lakini umeshindwa na pili kwa dhati ya hoja waziwekazo wakubwa zenuni mufilisi, kwahiyo kuna vitu viwili hapo.
The same way tunaweza ku criticiz mungu wako pasipo kuhitaji kuingia darasani kuisoma dini yako. So poin
Sio kwa hili, hili jambo hasa na maalumu, ambalo kamwe huwezi kulikosoa bila kusoma, na huu ndio ukweli muhimili na huyu ndio Mola wa kweli. Hapa naweza kukupa miaka yote mpaka unakufa tumjadili Mola wa kweli lakini hutoweza kumkosoa hata kwa bahati mbaya, lakini hao wengine ni waongo ndio maana ni rahisi kuwakosoa hata bila ya kuwasoma.

Ndiyo maana mtume wetu aya ya kwanza kupewa aliambiwa "Soma, kwa jina la Mola wako muumba..... ".

Sasa dini yetu imekaa kielimu na dini nyingine ni za uongo na hazija kaa kielimu zaidi ya wasi wasi wa shetani, kama alivyosema Imaam al Qahataani katika "Nuuniya" kama sikosei au Imaam Ibnul al Qayyim al Jawziya katika "Nnuniya" yake.

Kama unabisha, tuendele uone shughuli yale.
 
Ukinitajia jina la mungu bila kuweka maana unayoikusudia mi nitakuuliza huyo mungu alishanya battle freestyle challenge na rapa gani mpaka akaitwa mungu wakati mungu ni eminem?
Ukiambiwa una matatizo ya akili utakataa. Inaonekana kwako wewe usahihi wa jambo hamuuzingatii kabisa.

Yaani mnaitana itana tu bila kuchunga mipaka, huu ni uzwa uzwa usio faa hata kupigiwa mfano.

Ukishasoma misingi ya lugha, kuna vitu kama uchafuzi wa lugha, ukosoaji na matumizi sahihi ya maneno, hao wanao jiita miungu au kuitwa miungu wanakosea, na usahihi kabla ya kuwajadili lazima,ufahamu sahihi ushike hatamu ndio mengine yaendelee.
 
Wewe uliyeweka hiyo list unakubali kuwa hiyo yote ni miungu na kweli ipo?
 
Kwaiyo point ya kusema kwanini hao wameitwa mungu unatakiwa uwataje hao wakina nani. Maana mimi naweza nikakuambia eminem kaitwa mungu kwasababu anachana sana pia ni mkali wa diss track kuliko rapa yeyote yule.
Swali la msingi litakuja je hilo tamko wanalo litumia wanapatia kulitumia au wanababatiza maana.

Leo nazidi kukuona kwamba kijana una marejeo ya wahuni na watu wanao pelekwa na hisia zaidi ya tafakari na maarifa, unatuwekea mifano wa wasanii wajinga na waharibifu, unau najisi huu mjadala aisee.

Unatuwekea mifano ya watu ambao hawajui mipaka na matumizi sahihi ya maneno ? Kijana chunga sana.
 
Wewe uliyeweka hiyo list unakubali kuwa hiyo yote ni mungu na kweli ipo?
Hawa vijana, kwao wao suala la kupatia na usahihi hawalizingatii kabisa, yaani wanaadika andika tu ilimradi. Wakati walitakiwa wahoji je usahihi wa haya ni upi, sasa unakuta mtu anakutolea mfano ya kuwa Eminem aliitwa mungu sababu ni mkali wa diss,sasa unajiuliza iko wapi mbingu na iko wapi ardhi ? Wanaandika tu ilimradi tu hata muda wa kuhakiki wanacho kiandika hawana, ila Mola wetu ana miujiza yake aisee, yaani amewaondolea ufahamu kabisa watu hawa.
 
Eleza kwanza kwanini Mungu hapaswi kuwa au hana hivyo vitu?
Swali zuri sana, hawa wanahisi kuwa na sifa hizo ni kulingana na mwanadamu. Anashindwa kujiuliza mbona "Birika" lina mkono,lakini mkono wa birika sio kama wake na birika sio mwanadamu.

Wanasahau ya kuwa pamoja na kuwa na sifa hizo zote lakimi hafanani na chochote.
 
Suala la kukubaliana au kutokukubaliama ni suala lingine, ila nimetumia kauli yako kuthibitisha ya kuwa hukuwahi kuthibitisha kutokuwepo kwa Mola zaidi ya kupoteza muda tu.
Haliwezi kua swala lingine kwasababu lipo ndani ya mjadala na hilo ndio limebeba keyword ya hoja yako kwaiyo we lijibu tu.

Kauli yangu haithibitishi hilo. Hayo ni mawazo yako baada ya kushindwa kuielewa hoja yangu. Na mimi ndio niliyetoa hoja naelewa shabaha yake kwaiyo kila step nayo tembea ishakua calculated.

Sikubaliani na wewe kwa sababu nyingi, na hizi hapa chini ni baadhi :
1. Akili ya mwanadamu haina uweso wa kujibu juu ya kila kitu, mpaka ipatiwe msaada kwa yale ambayo haiwezi kuyadiriki.
Akili ya mwanadamu ndio nini au umekusudia akili ya mtu?

Kama ni akili ya mtu we umeingia kwenye kichwa changu umeona kua siwezi?

Akili yako hapo ndio yenye tatizo kwanini usianze kujitafakari wewe kwa kuichunguza akili yako kwanza?

Mtu unaweza ukawa umeenda kijijini ambako hakuna hata kitu cha chuma wala hawajui chochote kuhusu umeme yani kiujumla hawajawahi kuona watu tofauti na jamii yao.

Mindset zao zinafikiria yale ambayo yapo katika uwezo wao ambayo yamewazunguka ukiwaambia kunakifaa kinaitwa simu ambacho unaweza kuwasiliana na mtu wa mile ya mbali kwa kuonana naye kupitia screen ya hiyo simu hawata kuelewa.

Na probably jambo hilo kwao ni lakufikirika tu waishajiapiza kua mambo hayo hayawezekani kufanyika kwa akili za kiutu

2. Hiyo ni kauli ya kifalsafa ambayo kiuhalisia ilitakiwa ithibitishwe lakini sababu falsafa imejengekea katika dhana,mmeshindwa kuthibitisha kwahiyo inabakia kuwa ni kauli tu isiyo kuwa na taathira yoyote zaidi ya kujifariji tu.
Kauli ya kifalsafa ndio kitu gani?

Na umetumia nini kujua hilo?

3. Mnae mkanusha hamumjui na huku ni kuikosea adabu elimu na kuujujumu ukweli.
Kutokujua kitu hakuna relation yeyote na uhalisia kwamba kitu flani hukijui basi kitu hicho lazim kiwepo

Nimekuwekea list ya miungu hapo juu niambie unawajua?

Unaweza kunielezea mmoja baada ya mwingine from the top to the bottom?

Kulingana na madai yako je Ukishindwa kuwajua au kuwaelezea hao miungu je hiyo itatoa jibu?

4. Ambacho hakipo kinathibitishika ya kuwa hakipo, kama ukikijua kitu hicho, ukajua kwanini hakipo, je kilitanguliwa na kuwepo kwake, au ni matokeo ya dhana za mwamadamu katika kusawirisha mambo ?
Kutangulia au kutotangulia who cares?

Jibu lako baada ya kuthibitisha ndio litatupa hitimisho kua kitu hicho kilikua halafu kikasepa au hakikuwahi kuwepo.

Sasa kwa mujibu wa hoja yako ni kwamba uthibitisho wa kuonesha mungu hayupo humu haupo. Sasa tuambie uthibitisho huo unafit vipi hapo kwa mujibu wa hoja yako hiyo?

Tosheka na sababu hizi kwa sasa.
Hazijakata kiu ya swala, leta zingine

Mbona nimeambatanisha hizo njia kwenye uthibitisho niliokupa kuhusu kutokuwepo kwa mungu?

Labda nikuulize wewe umetumia vigezo gani kutafiti hadi kuhitimisha hakuna uthibitisho wa kuonesha mungu hayupo humu ambao mimi nadai nimeuweka?

Kupitia maswali haya tutajua ya kuwa umepata maarifa mapya au unaleta sanaa kama ilivyo kawaida yako.

Nasema hivi, tuendelee....
Mimi njiannilizotumia nishakueleza zinapatikana katika post ambayo nimekuthibitishia mungu hayupo

Hilo swali limekugeukia wewe, maana ulishadai kua hakuna uthibitisho niliouweka. Na shwria inasema hupaswi kusema kitu fulani hakipo bila kuweka uthibitisho

Unafikiri hakuna haja ya mimi kukuuliza wewe ulitumia njia gani kujua hakuna uthibitisho kuonesha hakuna mungu?
 
Aisee kazi ipo. Unapenda kupoteza muda kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…