Jmujun JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 965 Reaction score 525 Apr 29, 2016 #1 Jaman wakuu kwa jamvi hili naleta uzi hata kama hauna maana yoyote kwako, lakn ningependa kumfahamu msanii aliyeuimba wimbo wenye maneno kama title nilonge nisilonge,... longaaaa. mpenzi wangu...
Jaman wakuu kwa jamvi hili naleta uzi hata kama hauna maana yoyote kwako, lakn ningependa kumfahamu msanii aliyeuimba wimbo wenye maneno kama title nilonge nisilonge,... longaaaa. mpenzi wangu...
Mr Antidote JF-Expert Member Joined Jan 11, 2015 Posts 955 Reaction score 1,315 Apr 29, 2016 #2 H mbizo kama sijakosea ndio jina la usanii jina la kupewa kwao silifahamu
Justine_Dannie JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 1,962 Reaction score 1,622 Apr 29, 2016 #3 Wakati huo huo. Kama masikio yangu yapo sawa, nyimbo ya diamond itwayo Je utanipenda nahisi audio zipo version mbili. ..kwa maana midundo imepishana kidogo sasa naomba kuzipata zote mbili. Asanteni
Wakati huo huo. Kama masikio yangu yapo sawa, nyimbo ya diamond itwayo Je utanipenda nahisi audio zipo version mbili. ..kwa maana midundo imepishana kidogo sasa naomba kuzipata zote mbili. Asanteni
Jmujun JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 965 Reaction score 525 Apr 29, 2016 Thread starter #5 ntamtafuta huyo h mbizo, naupenda wimbo