KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 30,159 69,149 Mar 20, 2017 #1 mi nimeiona lkn nimejifunza kitu kwamba "usipende kumkabidhi mtu kitu cha hatari kabla hujampima uwezo wake wa akili"
mi nimeiona lkn nimejifunza kitu kwamba "usipende kumkabidhi mtu kitu cha hatari kabla hujampima uwezo wake wa akili"
Mgirik JF-Expert Member Apr 27, 2013 13,208 13,233 Mar 20, 2017 #2 Elezea kidogo Basi. Maana Wengne hatujaiona
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 30,159 69,149 Mar 20, 2017 Thread starter #5 Mgirik said: Elezea kidogo Basi. Maana Wengne hatujaiona Click to expand... hata hivyo ni kwaajili ya walioiona! ambao hamjaiona basi ndo imepita
Mgirik said: Elezea kidogo Basi. Maana Wengne hatujaiona Click to expand... hata hivyo ni kwaajili ya walioiona! ambao hamjaiona basi ndo imepita
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 30,159 69,149 Mar 20, 2017 Thread starter #6 Patrickn said: Mbona kama mkono wa bashite Click to expand... unaukaribunae..? maana mpk umekariri mkono wake it means ushakutananae mara kadhaa ila huo sio mkono wake lkn kama vileee wa waaa hebu ngoja kidogo...
Patrickn said: Mbona kama mkono wa bashite Click to expand... unaukaribunae..? maana mpk umekariri mkono wake it means ushakutananae mara kadhaa ila huo sio mkono wake lkn kama vileee wa waaa hebu ngoja kidogo...
for life JF-Expert Member Sep 22, 2014 3,396 4,437 Mar 20, 2017 #7 Mbona sisi mungu katupa vifaa vya hatari?
Kinyerezi JF-Expert Member Jan 28, 2009 486 149 Mar 21, 2017 #8 KENZY said: mi nimeiona lkn nimejifunza kitu kwamba "usipende kumkabidhi mtu kitu cha hatari kabla hujampima uwezo wake wa akili" Click to expand... umeona eeh
KENZY said: mi nimeiona lkn nimejifunza kitu kwamba "usipende kumkabidhi mtu kitu cha hatari kabla hujampima uwezo wake wa akili" Click to expand... umeona eeh