George J Minja
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 289
- 203
Correct. Amemtuhumu Prof. jumla jumla tu.Wewe hujawahi kumuelewa Shivji
tatizo ni uwezo wako wa kuelewa..
Shivji kasema mbona hakuna hansard za majadiliano kati ya wajumbe wa tume?
je hili la serikali tatu lilikuwa ni makubaliano ya maafikiano au makubaliano ya kushindwa maafikiano?
was it a compromise?
wewe hujaelewa hayo yoote.....
Hakuna msomi aliye na maarifa mengi kuliko UZOEFU.PROF SHIVJVI, pamoja na kuwa msomi wa kiwango hicho lakini pia ana uzoefu wa siasa za TANZANIA kuliko wachangiaji wa mada hii. Amini usiamini serikali tatu siyo suluhu ya matatizo ya MUUNGANO.Kwa hakika kila muungano huwa na matatizo yake,mengine huwa ni ya kupita tu na mengine huwa ni ya kudumu kama ilivyo jamii yenyewe. hakuna jamii isiyo na changamoto zake.wanao dhani serikali tatu ndio muarobaini wa changomoto za muungani wamepata wapi uzoefu huo? hakuna equation ambayo tumekokotoa ikatupa uhakika huo! kwangu mimi kama isingekuwa tamaa uchwara za wanasiasa njia bora ni kuwa na MUUNGANO WA SERIKALI MOJA.NO LESS NO MORE. Wanasiasa wanasema wanaona zanzibar watapoteza IDENTITY YA TAIFA LAO! Kweli? mbona wamepoteza identity za jamii zao na kurithi majina ya kiarabu ilihali wao ni wabantu!Naona ulikuwa mpango Mkakati wa muda mrefu tangu Enzi za TANU hadi CCM kwamba watanzania wanyimwe elimu ili iwe rahisi kuwatawala, na wale waliojitambua SERIKALI za TANU/ASP na baadaye CCM ziliwanyamazisha kwa kashfa mbali mbali za kutungwa na mpaka leo wako kimya!! Chief Fundikira, Kasanga Tumbo, James Mapalala, Abdulrahman Mohamed Babu, Oscar Kambona nk nk!! Na wale waliokubaliana na SYSTEM wengi ambao ni GENIUS waliingizwa UWT/TISS nina wasi wasi Prof Shivji (Japo ninamheshimu sana) naye yumo ndani ya kundi hilo kama Prof Paramagamba Kabudi!! Hawa wote ni wapinzani MAHIRI wa demokrasia na wanatumia mbinu za hali ya juu sana ili wasigundulike!! Sasa Prof Shivji nadhani na umri umeenda (You can not teach an old dog new techniques/skills)that's why anachanganya MADESA kiulaini!! Anasahau kwamba serikali TATU ni maoni ya watanzania (siyo ya Warioba et al) na serikali mbili ni CCM and her allies (Shivji et al inclusive???) SHAME ON HIM!!!
Kwanini wewe una amini yeyote asiecheza na tune ya Tanganyika ni mwana CCM. Pili tatizo la muungano kwa upande wa bara liko wapi hasa? maana hizi tosh Tanesco bills sidhani kama ni sababu halali in the national context za kuvunja muungano au upuuzi aliouzungumza mh. Mbowe, eti wanaingia kwenye bunge letu na tunalipwa sawa wakati wao wana represent watu wachache pumba za ajabu from a national leader.Ukiwauliza watanzania mmoja mmoja ambaye hana maslahi na faida kutoka CCM awe mpinzani au sio atakuambia tunahitaji serikali ya Tanganyika sasa Shivji ametumwa na nani kuwaambia watanganyika kuwa hawana haki ya kuwa na serikali yao??
Ukiona mtu anajipa ID za magari ujue bado ni under 18Acheni kumtukana prof. Kitu kizuri sio lazima kiwe unachotaka kusikia wewe tu.