Nani alimkwamisha huyu Rubani?

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,283
Mkielezwa kuwa Boeing imehuhujumiwa mnajifanya wajuaji,sasa Rubani mmoja mmarekani ameibuka na kudai kwamba miezi michache kabla ya shirika la ndege la Indonesia la Lion Air ndege yake moja aina ya Boeing 737 MAX 8 kupata ajali, rubani huyo aliomba apatiwe mafunzo maalumu ya kurusha Boeing 737 MAX 8 lakini alikutana na vikwazo na hakupewa hayo mafunzo.
Swali,ni nani alimkwamisha huyo rubani na Kwa sababu zipi? Wakati mfumo wa Boeing 737 uko tofauti na Boeing zingine na hivyo ilikuwa lazima kila rubani aende kozi kwanza kabla ya kurusha hizo ndege.
Ni ma Great thinkers pekee ndo watakubali kuwa Boeing imehuhujumiwa.

months before October’s Lion Air crash in Indonesia that he was uncomfortable with the level of training he had received before he was scheduled to fly the Boeing 737 Max for the first time. But when he asked for more training, he faced difficulties in getting it—and even a form of reprimand.

Like pilots at other US airlines using the 737 Max—which has been involved in two deadly crashes in less than five months that have killed nearly 350 people—this pilot was only required by the US Federal Aviation Administration (FAA) to take a video tutorial on the new jet, as he was already certified to fly earlier variants of the 737 aircraft, on which the Max is based.

The US airline pilot contacted Quartz to detail his experience prepping to fly the Max, but asked for his name and airline not to be identified as he is not authorized to speak to media.

After the Indonesia accident, airlines using the model said they were beefing up their training to cover a new flight system that Boeing had installed in the plane, but which pilots were not informed about until after that tragedy. The model was grounded after last month’s Ethiopian Airlines crash. The preliminary report on that crash is due today (April 4), and the aviation community—and lawyers—will be looking closely at the findings.

Boeing already faced lawsuits in the wake of the Lion Air crash. But the Ethiopian disaster has focused attention more closely on the plane’s design, and Boeing’s training recommendations, increasing the risk it could face a trial in the US. Today (April 4), law firms in the US plan to file the first wrongful death claim on behalf of a US national against Boeing. Sanya Stumo, who died in the March crash, is a niece of one-time US presidential candidate Ralph Nader.

“Just a different airplane”

The pilot Quartz spoke to has about two decades experience with his current airline, and additional experience beyond that. He was assigned a two-hour video tutorial, in line with the FAA’s recommendation for pilots certified to fly an earlier variant of the 737, to which the 737 Max is related.

“After completing it, over the next couple of days I got to thinking that, you know, they said it wasn’t a different airplane, it was just the same airplane with some differences,” he said. “But I went back over my notes, and I went back in the iPad and reviewed some of the information and I realized it was actually, it was the same airframe, but it had different instrumentation, some of the things were in different places, it sat on the ground differently, and it was just a different airplane.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hao wanataka kuaminisha Dunia kuwa hiyo ndege inataka mafunzo mapya ndio chanzo cha ajali huyo rubani wa ET ana Massa hewani karibu 8000 ni mzoefu na amepata mafunzo mengi tuu mimi naamini ndege ndio tatizo maana mpaka ipate ajali sio swala dogo na haswa ukizingatia zinapata ajali mbili kwa kipindi kifupi ..
 
Marekani haishindwi kitu, wakishindwa wanatafuta njia nyingine ya kushinda....

Kwanini ajali ya kwanza hawakusema hili? Kuwa hizo ndege zinahitaji mafunzo?

Zimesha sababisha maafa ndiyo wanakumbuka kuna mafunzo, hayo mafunzo walitakiwa wayatoe kabla marubani hawajaanza kufanya kazi, kama isingetokea hiyo ajali wasinge tangaza kukwamishwa kwa huyo rubani

Waache propaganda za kijinga kama za mi ccm
 
Iv lion air nawao ripoti yao ilitoka ? Kama ilitoka ikisemaje kuhusu mfumo wandege ? Na kama ilibaini mapungufu ya kimfumo kwann mashirika mengine yaliendelea kurusha ndege ?
Na kwann hii ya ET ndio imeteka dunia ?
Je ET waliposikia lion air 737 max imepata ajali walithubutu jua chanzo cha ajali ?
 
Jibu rahisi hapo ni kwamba ET ni kampuni kubwa ya usafirishaji kuliko hao Lion na wengi wanaitumia ET kuliko Lion ndio maana ilivuta hisia za watu wengi wasafiri kujua usalama wao na pia kiburi na ukubwa wa ET wao ndio waliamua wapeleke wapi Black Box ya hiyo air max ili kupata ukweli kampuni ndogo haiwezi kwenda tofauti na Boeing...
 
Mh mkuu unajua kama lion air wali order 737 max 100 na ET wali order 30 tu so automatically mi ninge wapa kipaumbele hawa wenye order ya 100 so lion air sio shirika dogo ni kubwa bro
 
Mh mkuu unajua kama lion air wali order 737 max 100 na ET wali order 30 tu so automatically mi ninge wapa kipaumbele hawa wenye order ya 100 so lion air sio shirika dogo ni kubwa bro
Mkuu kununua kitu kwa wingi kwa wakati Fulani kwa kampuni haimaanishi makampuni ambayo hayajanunua ni madogo...Tanzania tuliambiwa kuna ndege tumenunua na ATCL ni kampuni ya kwanza kununua ile ndege kwa Afrika je ATCL ni kampuni kubwa kuliko zingine...na pia hiyo ET watu wengi tulitaka kujua chanzo chake maana ndio inasafirisha abiria wengi kuliko hiyo Lion air...angalia destination za ET Duniani fananisha na hiyo Lion air utapata jibu..
 
Anyways unajua kuwa na route nyingi haimaanishi ww ni shirika kubwa .ukubwa wa shirika ktk sekta ya aviation ni mtaji unaoweka nikuhakikishie tu lion air ni shirika kubwa ndugu wana ndege 630 mzee embu pitia wasifu wao uone ninacho kwambia na ni shirikanla pili kwa ukubwa baran asia akitanguliwa na air asia ...mm ninacho kazia ni kwann baada ya ajali ya lion air dunia haikutengeneza swali kuhusu ubora wa 737 max ...
 
Isanga family huo ni baadhi ya wasifu wa Lion air ......
The airline has repeatedly broken records for largest aircraft orders, such as its $24 billion order for 234 Airbus A320 jets, as well as its $22.4 billion order for 230 competing aircraft from Boeing .[2] The airline signed agreement with US-based aircraft manufacturer Boeing for fifty 737 MAX 10 passenger jets worth $6.24 billion in June 2017. The airline is the second largest customer of Boeing.
 
Anyways unajua kuwa na route nyingi haimaanishi ww ni shirika kubwa .ukubwa wa shirika ktk sekta ya aviation ni mtaji unaoweka nikuhakikishie tu lion air ni shirika kubwa ndugu wana ndege 630 mzee embu pitia wasifu wao uone ninacho kwambia na ni shirikanla pili kwa ukubwa baran asia akitanguliwa na air asia ...mm ninacho kazia ni kwann baada ya ajali ya lion air dunia haikutengeneza swali kuhusu ubora wa 737 max ...
Mkuu hiyo 630 ni flights route per day ila fleet size yaani idadi ya ndege walizonazo ni 125 na destination ni 126...Mkuu upo sahihi sema kuna vitu vidogo hatujaelewana ila tupo katika njia moja ila fatilia kama wana ndege 630 unipe jibu...
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom