Nani aliimba huu wimbo....mtu chake apendacho

"Penzi langu kumpa yule bibi hilo msinilaumu eeh...penzi la fukara halina thamani mbele ya watu......"Jina la wimbo ni PENZI LA FUKARA...mimi km simba na yanga basi mimi msondo ngoma lkn hiki kibao cha sikinde kinanipeleka mbali sana
 
Wakuu nataka nani au ni bendi gani iliimba huu wimbo wa mapenzi haya kificho yanapoingia moyoni...Mtu chake apendacho, hakina hila machoni, huridhika kuwa nacho japo hakina thamani:sleepy:
Aliimba Papaa Wemba !!
 
Last edited by a moderator:
DDC Mlimani Park waimbaji ni Hasan Rehan Bichuka na Muhidin Maalim Gurumo
 
mhhhjj aiseee umekula chumvi nyingi

Sana.Mi ndo yule nauliziaga facebook yangu pale ofisi za tigo! Ha ha ha. Nakutania,mi ni mdau pia wa ujasiriamali wa dj na mziki. Lazima history za miziki na wanamziki wengi niwajue. Umri bado damu inakimbia tu dada kwani mechi ya dakika tisini na hata ziwepo za nyongeza na hata kufika penati,hainisumbui.
 
Huoni nimetaja kwa Mbowe mkuu?
hakuna shida mkuu.
Nipo na nimejaa tele.
sijajua ulipo ila kama uko Dar, baadae tungeenda bonanza Leaders Club.

Nipo Dar. Nitakutafuta twende.Kuna lingine huwa linafanyika Sinza na Mikocheni huwa yananoga sana. Sports,kula na kunywa!
 

sio mcheOooo aiseeee nafatilia faili lako
 
Hahahaha,jamaa unataka kuwapiga madongo wanaokupondea dem wako nini.
Haya,ukitaka nyimbo nyingine karibu
 
Wimbo unaitwa Penzi la Fukara, I believe.
Lakini shairi lenyewe hilo hasa liliandikwa na mshairi maarufu Kaluta Amri Abedi (1965) na lipo katika kitabu chake cha Sheria za Kutunga Mashairi na Diwani ya Amri.
Wahenga mpo hapo?
 
Wimbo unaitwa Penzi la Fukara, I believe.
Lakini shairi lenyewe hilo hasa liliandikwa na mshairi maarufu Kaluta Amri Abedi (1965) na lipo katika kitabu chake cha Sheria za Kutunga Mashairi na Diwani ya Amri.
Wahenga mpo hapo?
duuh long tymeeeee.....
 
Wimbo unaitwa Penzi la fukara, mtunzi Joseph Mulenga, mpiga gitaa la Solo waimbaji ni bitchuka, gurumo na maalim kinyasi/hamis juma bendi ni DDC mlimani park
 
Wimbo unaitwa Penzi la fukara, mtunzi Joseph Mulenga, mpiga gitaa la Solo waimbaji ni bitchuka, gurumo na maalim kinyasi/hamis juma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…