Mkuu, elimu ni tofauti na shule, fahamu hilo kwanza. Elimu ni mchakato wowote wa kupeana maarifa, bila kujali ni nani anayekupa na ni kwa namna gani lakini shule ni eneo/mahali/muktadha rasmi ambako elimu ya aina fulani hutolewa.
Kama tunalenga ugunduzi wa elimu kama maarifa, lazima tuanze na ustaarabu na mwanadamu kwanza... Ya shule sifahamu!