Nani alaumiwe

Mulunga

Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
34
Reaction score
2
Jamaa mmoja alikuwa anapenda kufuatilia sana wake za watu na ikafikia muda akaisahau kabisa familia yake yenye mtoto mmoja,na kuwa mke mwenye watoto 5.

Baadaye jamaa anayechukuliwa mke naye akaamua kumfuatilia mke wa mgoni wake na kumuoa kabisa ikawa wamebadilishana nani alaumiwe kwa hili.
 
Kama hamna cha kupost bora uwe unachangia kama sisi
 
toa mchango tu kama umekosa cha kuandika
 
ngoja nami japo nichangie katika mjadala huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…