Mwana kondoo
Senior Member
- May 21, 2017
- 180
- 177
TaHakuna wa kulaumiwa mimi naona tatizo watu wengi huingia kwenye uhusiano bila ya kujiandaa kwa hayo mahusiano wanafuata tamaa za mwili
Umewatolea mfano mapadri, je una uhakika mapadri hawafanyi mambo ayo?Wale wanao lalamika sana ndo washenzi wa tabia wanayo fanya wao wana amini na wenzao wanafanya ila swala la umalaya ni hulka ya mtu wewe kama tabia yako ni umalaya hata tukubidili jinsia utoke kwenye uanaume na uanamke sijui ata utakuwa nani bado utafanya umalaya,uwezi kukuta mapadri wamekaa wanasema siku izi akuna waaminifu wao wamejulia wapi mambo ayo wao wanaona shwari sasa wale wanao yafanya utasikia siku izi adi wake za watu sio waaminifu ujue alisha tembea na mke wa mtu kwa hiyo ao wanao sema sana ndo washenzi,na kama ujui malaya ndo wana wivu kupita maelezo
Ukiona anafanya ujue sio padri uyo muigizaji ila mimi nimeongelea ma padri na madri awafanyiTa
Umewatolea mfano mapadri, je una uhakika mapadri hawafanyi mambo ayo?
Hakuna wa kulaumiwa mimi naona tatizo watu wengi huingia kwenye uhusiano bila ya kujiandaa kwa hayo mahusiano wanafuata tamaa za mwili
Kwaiyo kufutwa ndo iwe sababu ya kufanya usaliti? kwani wanapofatwa wanalazimishwa?Wanawake buana wanaongoza kwasababu wao hufuatwa ila kucheat ni maamuzi ya ntu na ntu...
Tulaumiane ila pia tuoneane huruma jamani, kuslitiwa inauma sanahakuna wa kulaumiwa umalaya ni tabia ya mtu tu
hakuna namnaKujua nani anaongoza ni mpaka sensa ifanyike, na hiyo haiwezekani kufanyika duniani labda Mbinguni na sio Leo. Duniani tuishie kulaumiana tu inatosha.
Tatizo yeye ndo ananilaumu mimiWakumlaumu ni Huyo aliye kucheat
Sawa yuko sahihi km wewe ndiyo ulie msaliti na vithibitisho vipoTatizo yeye ndo ananilaumu mimi
wanapata wakati mgumu kuvishinda vishawishi, basi wanajikuta wameshanaswa mtegoniMwamba ngoma huvutia kwake...
Ngoja nivutie kwangu..Wanawake ndio wanazingua na wanaongoza kwa kucheat maana wanadanganyika kirahisi πππππ
Nimekuelewa sana mzeeALAUMIWE MTU BINAFSIANAYEFANYA HIVYO NA SIO JINSIA
kabisa yaani mkuuwanapata wakati mgumu kuvishinda vishawishi, basi wanajikuta wameshanaswa mtegoni