Mributz
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 257
- 629
π¨ ππ¬ππ£π’π₯π’ ππ¦ππ€ππ¦π’π₯π’π€π:
Wilson Nangu (22) amejiunga na Simba SC kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea JKT Tanzania. πΉπΏβ¨
Kijana huyu mwenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi anatarajiwa kuwasili Dar es Salaam leo kwa ajili ya utambulisho rasmi.
Atavaa jezi namba 31 akiwa na Wekundu wa Msimbazi! π΄βͺ
Mashabiki wa Simba mna maoni gani juu ya usajili huu mpya? π
Β©οΈ Micky Jnr African Football Journalist