IHOLOMELA JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 1,807 Reaction score 1,678 Aug 16, 2018 #1 Kama ni Great Thinker niambie umegundua nini kwenye hii picha iliopigwa siku ya Nanenane huko Simiyu kijijini Nyakabindi
Kama ni Great Thinker niambie umegundua nini kwenye hii picha iliopigwa siku ya Nanenane huko Simiyu kijijini Nyakabindi
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,777 Reaction score 126,724 Aug 16, 2018 #2 Ngoja waje waliohudhuria hiyo nane nane
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,845 Reaction score 82,393 Aug 16, 2018 #3 Kwamba wahudhuriaji hawakuwepo ikabidi wenye 88 yao wakodi hadi malori ku ferry watu waliokodiwa kwenda kuongeza nyomi
Kwamba wahudhuriaji hawakuwepo ikabidi wenye 88 yao wakodi hadi malori ku ferry watu waliokodiwa kwenda kuongeza nyomi
IHOLOMELA JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 1,807 Reaction score 1,678 Aug 16, 2018 Thread starter #4 chaliifrancisco said: Kwamba wahudhuriaji hawakuwepo ikabidi wenye 88 yao wakodi hadi malori ku ferry watu waliokodiwa kwenda kuongeza nyomi Click to expand... Sawa kabisa mkuu pia wahudhuriaji nao umewaona??
chaliifrancisco said: Kwamba wahudhuriaji hawakuwepo ikabidi wenye 88 yao wakodi hadi malori ku ferry watu waliokodiwa kwenda kuongeza nyomi Click to expand... Sawa kabisa mkuu pia wahudhuriaji nao umewaona??
NkumbiSon JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 2,578 Reaction score 3,674 Aug 16, 2018 #5 IHOLOMELA said: Sawa kabisa mkuu pia wahudhuriaji nao umewaona?? Click to expand... Jembe na Nyundo!
IHOLOMELA JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 1,807 Reaction score 1,678 Aug 16, 2018 Thread starter #6 nkumbison said: Jembe na Nyundo! Click to expand... [emoji3] [emoji3]
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,892 Reaction score 52,491 Aug 16, 2018 #7 Nimependa Raba zao tu
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,173 Reaction score 157,166 Aug 16, 2018 #8 Watu wamekondakonda sana.
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,669 Reaction score 11,769 Aug 16, 2018 #9 Mwifwa said: Ngoja waje waliohudhuria hiyo nane nane Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwifwa said: Ngoja waje waliohudhuria hiyo nane nane Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
msabillah JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 4,763 Reaction score 3,204 Aug 16, 2018 #10 IHOLOMELA said: Kama ni Great Thinker niambie umegundua nini kwenye hii picha iliopigwa siku ya Nanenane huko Simiyu kijijini NyakabindiView attachment 838177 Click to expand... Nimegundua kuwa CCM bado bonge la chama!
IHOLOMELA said: Kama ni Great Thinker niambie umegundua nini kwenye hii picha iliopigwa siku ya Nanenane huko Simiyu kijijini NyakabindiView attachment 838177 Click to expand... Nimegundua kuwa CCM bado bonge la chama!
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Aug 17, 2018 #11 Fuso lile lipo kwenye maonesho au [emoji23] [emoji23]