Nandy Festival - Clouds FM

Darius RR

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
385
791
Leo Nandy ana jambo lake, atakuwa Clouds FM akisindikizwa na baadhi ya wasanii.

Jukwaa limetengenezwa eneo la kuegesha magari, pamependeza sana.

Jambo lenyewe linatarajiwa kuanza mishale ya saa 4 mpaka alasiri huko.

Watakao pata nafasi wafike zilipo ofisi za Clouds FM Mikocheni, hakuna kiingilio.

Pia kuna baadhi ya matukio yatakuwa live kupitia TV na Youtube Channel.

Kama nitapata nafasi nitaendelea kuwadokezea nini kinaendelea.

NB: Nitashindwa kuwapa picha maana natumia simu aina ya Tecno na imepasuka pasuka kioo, hivyo haipigi picha vizuri.
 
Kupasuka kioo cha kuna uhusiano gani kupiga picha.....
Tupe picha mkuu
Camera ndo inachukua picha na sio kioo cha simu

Aibu mkuu kutoa simu kwenye Uma, imepasuka pasuka halafu unataka kupiga picha.

Anyway, tukio lenyewe ilikuwa uzinduzi wa Nandy Festival.

Najilaumu nimeshindwa kupata namba ya mrembo mmoja hivi aliyekuwa kwenye troop, mkali sana.
 
Back
Top Bottom