Nandi+ruby+Takataka zote = Zuchu
Diamond+ Alikiba+ Harmonize+Takatakazote= Ibrah_Tz
Kweli kabisa, ruby ni mhimili uliojichimbia chini zaidi.Mimi namkubali zuchu...lakini mkuu achana na ruby kabisa yule sio mtu wa kawaidaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakuaje overrated wakati wasanii wenzake pia Wana appreciate uwezo wakeHuyu zuchu mfanyeni tu awe overrated tu muda utaongea wacha tuone kutoka sio kazi kazi ni kumaintain hii game ya Bongo flavor sio kitu rahisi kama watu mnavyo mtarajia nyie.
Anakuaje overrated wakati wasanii wenzake pia Wana appreciate uwezo wake
Anakuaje overrated wakati wasanii wenzake pia Wana appreciate uwezo wake
Ngoma mbona ni Kali Sana na vocal yake ipo on point sema tu wewe upendi aina ya huo mziki lakini huo wimbo ni mzuri kuanzia uwimbaji,beat, Melody Hadi uandishi.Anajua kuimba kiasi ila yupo overrated sana...
Toa nembo ya WCB, unadhani angeweza fika kirahisi alipofika kwa wimbo kama "Wana"
Yah niliangalia hiyo ni big achievement kwake na mziki wake kiujumla.
Wapare wana akili sana. Nandi , mange. Mshana. EtcMsanii Nandy asifia uwezo wa Zuchu kimziki "Mimi Kama mwanamziki inaweza kuwa ngumu kusifia kazi za mwenzangu lakini kwa Zuchu kiukwel anajua Sana, Cha msingi ajitahidi kufanya vizuri atafika mbali Sana maana Mimi Ni mshabiki wake pia"
Ikumbukwe pia nandy na Zuchu walikuwepo wote kwa pamoja kwenye shindano la Tecno own stage lililofanyika nchini Nigeria chini ya majaji sauti sol na Yemi alade, Na kwa East Africa Ni wao pekee ndio waliopata nafasi kushiriki.
NB: Naona Nandy ameonesha mature lakini amefuta kiasi fulani ile kauli ya wanawake kwa wanawake hawapendani ila kwa upande sijawahi kuona msanii akimsifia msanii mwingine especially kwa wanawake hii ni Mara ya kwanza.
Kama ulikuwa hujui nandy nae kaanzia wasafi wcb
Ni kweli anachosema jamaa alikuwa wasafi hata ile sauti ya kike unayosikia ya wasafi ametengeneza nandy ila nandy aliondoka wasafi kutokana na kupigwa benchi muda mrefu ingawa sio Kama benchi alilopigwa zuchu.
Ngoma mbona ni Kali Sana na vocal yake ipo on point sema tu wewe upendi aina ya huo mziki lakini huo wimbo ni mzuri kuanzia uwimbaji,beat, Melody Hadi uandishi.