Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,639
Serikali imemthibiti Askofu Gwajima ili amani iweze kudumishwa katika nchi yetu.
Lakini wanaibuka watu wengine wanaongea kama alivyosema Gwajima.
Rais Samia anafananishwa na Iddi Amin Dadah. Rais Samia anafananishwa na viongozi wengi makatili.
Hata UN na White House wanaitilia mashtaka dhamira ya CCM kuwatumikia Watanzania.
Sijui kama CCM itakubali hizo accusations.