Nan kicha zaidi ..

Malumbizo

Member
Jan 25, 2012
47
6
Rubani mmoja aliagizwa kupeleka wagojwa wa akili(vichaa)afrika ya kusn,wakiwa ndan ya helocopta mara wale vichaa wakaanza kupiga kelele huku wakicheza michezo mbalimbal,yule ruban aliboreka sana kwa bahati nzuri kulikua na kicha mmoja katulia kwennye kiti chake, ruban aliamua kumwita yule kicha na kumuagiza kwenda kuwanyamazisha wenzake, jamaa alichokifanya ni kwenda kufungua mlango wa helocopta na kuaamuru waende kucheza nje walipotoka wote yule kafunga mlango.ruban alipoona ukimya alijua kwamba yule jamaa kapona,yule ruban kamwita kichaa na kumuliza swali: ruban:vp bwana naona umepona mpaka umewanyamazisha wenzako kichaa:alo ilikuwa kazi ngumu nikaamua kuwafungua mlango wameenda kucheza nje
 
Machale nkuncheza nkastuka, sio wewe ndo ulikwenda kuwafungulia...!.....:lol:..........................:banplease:.......................:ban:.........NO!..............:poa......................iko pouwa
 
Rubani mmoja aliagizwa kupeleka wagojwa wa akili(vichaa)afrika ya kusn,wakiwa ndan ya helocopta mara wale vichaa wakaanza kupiga kelele huku wakicheza michezo mbalimbal,yule ruban aliboreka sana kwa bahati nzuri kulikua na kicha mmoja katulia kwennye kiti chake, ruban aliamua kumwita yule kicha na kumuagiza kwenda kuwanyamazisha wenzake, jamaa alichokifanya ni kwenda kufungua mlango wa helocopta na kuaamuru waende kucheza nje walipotoka wote yule kafunga mlango.ruban alipoona ukimya alijua kwamba yule jamaa kapona,yule ruban kamwita kichaa na kumuliza swali: ruban:vp bwana naona umepona mpaka umewanyamazisha wenzako kichaa:alo ilikuwa kazi ngumu nikaamua kuwafungua mlango wameenda kucheza nje
aiseee...
 
Back
Top Bottom