mimi namsifu sana huyu dada ni mtu amesoma vizuri,ni mchapa kazi nazaidi ni mvumilivu sana na hakati tamaa na hana kinyongo,nilimshuhudia wakati anagombea nyadhifa za chama. big up shyrose. ninasikitika kwa wale wote wanaokuchafua ,waache na wakome
Unaweza vipi kusema unmzimia Shyrose? Yule sio mke wa mtu?
Hii ndio maana Mbunge mmoja,nadhani alikuwa ni Beatrice Shelukindo,ambaye alisema katika Bunge kwamba Jamii Forums wanaandika mambo ya kihuni. Ha ha ha.
mimi namsifu sana huyu dada ni mtu amesoma vizuri,ni mchapa kazi nazaidi ni mvumilivu sana na hakati tamaa na hana kinyongo,nilimshuhudia wakati anagombea nyadhifa za chama. big up shyrose. ninasikitika kwa wale wote wanaokuchafua ,waache na wakome
Hayaolewa..na ndiyo maana anatangaza biashara yake kwa watu maarufu. Leo yuko na huyu umaarufu ukiisha anatafuta mwingine..miaka yote anahangaika na watu maarufu tu wengi wenye wake zao.