Namuota sana usiku

Utaachaje kumuota kwa mfano,wakati ww ni "kaburi" tena "jeusi"...... Unatutisha bhanaaaa aaahhg
 
unamuotaje?

kaa vizur na Mungu wako wakt mwingine ni nguvu za giza lkn wakati mwingine ni hisia tu ulizonazo kwake.
JICHEKI USIJE UKAWA UMEMPENDA AFU UNATUSUMBUA TU HUMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…