kaburi jeusi
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 258
- 147
Mkuu umenichekeshaWavulana wa Dar bhana! Kwanini usimuote mama yako uote mama wa wenzio?
kwanini? Wee huna karama ya uotaji ndoto?Mkuu umenichekesha
mkuu kweli asee, hilo jina lake, avatar yake na ndogo aliyoota then alivyoangaliwa na huyo mama, kama vinauhusiano flani hiviikaburi jeusi + plus picha ya kibuyu cha uganga hapo lazima uote ushirikina ushirikina tu mkuu.
anataka aote ndoto nzuli wakati anatabia za kichawi dah nimeishia kucheka tumkuu kweli asee, hilo jina lake, avatar yake na ndogo aliyoota then alivyoangaliwa na huyo mama, kama vinauhusiano flani hivii
√unalala kwenye mashuka machafu usitegemee kuota ndoto nzuri[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nyie wavulana wa mikoani vilaza sana asee!Wavulana wa Dar bhana! Kwanini usimuote mama yako uote mama wa wenzio?