Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 876
- 1,476
Lakini alikuwa primary 2006, au nmesoma vibaya?Kubwa jinga, kweli ww Juma Maharage, yani una miaka 57 bado unateswa na mapenzi ya utotoni?
View attachment 1027580
Mhmh yamekuwa ayoooDoh!
Huyu naye mume wa mtu eti...kuna mtu anakuita 'mume wanguuuuu' kwa shangwe kabisa
Aibu nimeona mie Rehema
Hyo ni typing errors ila nishaurKubwa jinga, kweli ww Juma Maharage, yani una miaka 57 bado unateswa na mapenzi ya utotoni?
View attachment 1027580
Yani hatari sanaa inatesa sanaUmenikumbusha mchumba wangu wa utoto, tullivyomaliza sts 7 tulienda shule tofauti, ila ilikuwa kila nachofanya namwaza yeye.
Advance ikawa the same. Tukaja tukaachana.
Daah hatari sana sas natokaje apoRehema ukute hata hakukumbuki tena
Duuh ntaishijeSasa kama hutaki kuota mkuu si usiwe unalala...!!!
Ukiamua kujitoa utatoka
Unajua mpaka nakeleka nimtafute nimalizane naee nn?Ukiamua kujitoa utatoka
MZIMU wa rehema unakupunguzia maumivu ya UDOMO ZEGE wako ulioufanya kwa rehema!![emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo alikuwa primary akiwa na miaka 40+Lakini alikuwa primary 2006, au nmesoma vibaya?
[emoji57][emoji57][emoji57]Sasa kama hutaki kuota mkuu si usiwe unalala...!!!