namuonea huruma wifi yangu

mwambie br.wako aache uplayer utampoteza, adhabu ni hapahapa dunian oh!
 
Kwa huu muda jitahidi uwe karibu na wifi yako;
pale pa kurekebisha fanya;
Ongea na kaka yako kwamba tabia ya kuleta
wamama wa nje home siyo nzuri; siyo unakaa kihasara hasara tu huku town utachekwa.

muda ukifika, afu mume hatafutwi. 2mezaliwa wawili tu napambana nijitegemee usihofu
 
my dia ungeishi nae ungeelewa nin nasema, kunaushauri naweza ufanyia kazi thanks anyways

Kwa nini usizungumze na kaka yako badala ya kukimbilia kwa wifi yako?
 
Hakuna kama wifi yako acha aringe,anapendwa ndo maana kaolewa yeye na hao wengine wanafanywa tu party time huko nje.
 
nimezungumza nae mara nyingi yeye alalamika kua mkewe anapenda udiva since anakazi nzur anamzarau,

Ooh basi ya Ngoswe mwachie Ngoswe kumbe anajijua alifanyalo...
 
The right thing yo do?
Get a life! Kama unakaa kwa kakako jipange uhame ili uache kumchukia wifiyo. Wivu wa kiwifi unakusumbua. Wewe una mume ama bf? Umeshamchunguza vya kutosha?
hapa hata mimi nimeona ni wivu wa kiwifi.....
angekuwa kweli ana nia ya kusaidia sioni kwa nini ashindwe kuongea na kakake kuhusu tabia yake hiyo; anakazania tu wifi ana nyodo, so what!
Usifikiri unamsaidia kakako na kumwangamiza wifi yako, ni kwamba unamchimbia shimo kakako, kama unampenda utamlinda
 
Hapo ni kumwambia kaka yako abadilike.
 
nimezungumza nae mara nyingi yeye alalamika kua mkewe anapenda udiva since anakazi nzur anamzarau,
hapa naona sababu siyo wifi ana nyodo, bali kaka hajiamini.
sasa kama mkewe ana kazi nzuri ndo nini?
huyo mke ameshawahi kuleta mwanaume hapo nyumbani?
hizo dharau anazozifanya mpaka yeye aamue kuleta wanawake home ni dharau gani?
kakako hamstahili huyo mke wake
 
ongea na kaka yako kuhusu tabia yake usimuhusishe wifi yako utaleta migogoro na hata ndoa kuvunjika......kaka yako umemzoa ni rahisi kuongea naye
 
inawezekana wifi yako akisafiri nae anaenda kwa wanaume zake ngoma droo mahesabu jua likizama
 

Hapo sio kwamba unamkomoa wifi yako tu, hata kaka yako unakuwa haujamsaidia maana kuna HIV usije ukasahau.
Mimi nafikiri wakati umefika kwenye YES sema yes na kwenye NO sema no, hata kama jambo analifanya mtu wako wa karibu (kaka).
Kama hauwezi kumwambia wifi yako uchafu wa kaka yako, una nafasi ya kuongea na kaka yako ili aacha hiyo tabia. Kukaa kimya naona kama sio dawa.
 

The right thing to do is to talk to your brother!
 

Nashukuru sana ntafanyia kazi ushauri. Afu kikubwa yanaweza nitokea hata mim
 
Maisha ya kaka yako na wifi yako ni yao tuuuuu, mwisho utakuja mpiga chabo kaka yako mim simoni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…