Namuonea huruma, alinitosa lakini shauri yake

Namuonea huruma, alinitosa lakini shauri yake

Hahah pole ndugu ndo kapendwa sas utafanyaje
 
...yeye si hanitaki? basi muache mambo ya kibuma atarud nami namsubir kwa bashasha tele nimsurubu yeye si hanitaki?
 
Mara nyingine jifunze kuongopa la sivyo mademu wote wazuri utaishia kuwaita shemeji,kumbuka hawa viumbe wanaaleji ya kuambiwa ukweli.
 
Amerudi analiaa eeh,anatia huruma!Christian bella
 
Na hiyo ndo sababu ya vifo visivyoeleweka kwa wakaka kuongezeka, Kuweni wakweli wanaume ..... siku dada akijua akamchoma visu hata mara 10 ni halali yake

we hua unaona vya wanaume tu huko kwenu huoni wadada mlivyo waongo
 
Tatizo mwanaume anapokataliwa kwenye mapenz humuombea mabaya aliyemkataa... usifanye hivyo.. we piga kazi.. pata mafanikio.. oa mwanamke mwingne mpende na kumjari..
huo ndo uanaume wa kweli.. kama yakibuma huko aliko itamuuma sana.. kukutosa.. but usimuombee mabaya..
 
Ana style kama za msanii Fulani hivi anaitwa Father G ,aliimba binti mlokole
 
ni msichana mrembo sana kamehitimu degree juzi juz tu
nilimfuatilia mda mrefu sana ila hataki kukubaliana nami
now anatoka na jamaa mmoja hiv mwenye tabia ya kutambulisha wanawake kwa ndugu feki kwa mfano anawaita mimama ya mtaan na kudai mama zake kisha anamtambulisha msichana.
anatabia hadi ya kuleta mahar kwa mabinti hua anangangania sana kuja kujitambulisha ukweni haraka sqna sana naomba siku aingie familia za kiswahili wammalize akafie mbele maana kawq kero

nataman nimstue bint lakin yeye si hanitaki basi muache mambo ya kibuma atarud nami namsubir kwa bashasha tele nimsurubu yeye si hanitaki
dua la kuku, halimpati ........! kwann umwombee mwanadam mwenzio ubaya?
 
Back
Top Bottom