Namuomba muongozo wa hili kwenye maombi ya mkopo wa elimu ya juu

Aen Urner

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
358
352
Waliowahi kuomba mkopo wanisaidie kama cheti cha form six pia unakiambatanisha kwenye form ya maombi ya mkopo HESLB,
 
Kama unacho(kimeshatoka) ambatanisha,kama Bado hakijatoka kausha....haina tatizo kama ni wa mwaka huo(yani umemaliza form six mwaka Huu na unaomba mkopo mwaka Huu)
 
www.heslb.go.tz

Ukiingia hapo utaona kila kitu mpaka , updated news..online loan application system. So changamka .ingia kwenye ulimwengu wa digital..
 
Back
Top Bottom