natafuta mke, baadhi ya sifa ;
1.awe mweusi.
2.Mpenda maendeleo.
3.Asiyekunywa pombe.
4.Asiyevuta sigara.
5.Asiwe mtu wa kujirusha kila weekend kwakifupi asiendekeze starehe.
6.Ajue wajibu wake kama mke
7.asiwe mwenye maneno mengi , mtaani wanasema anachonga sana,
8.Awe mtulivu na mpole anayejiheshimu na mwaminifu.
9.Mpenda ibada.
Kama ana mtoto asizidi mmoja.
10.umri kuanzia 18 - 29.
11. Awe na umbo la kati.asiwe mwembamba sana wala mnene.
mm binafsi sjaajiriwa najitaftia na sina shughuli maalumu, shughuli zangu zinategemea wakati na msimu na fursa zinazojitokeza,labda mbeleni nita specialize .
umri wangu kati ya 29 hadi 35. aliye serious aje PM na kama una swali niulize kwa PM