Aiseee akili kubwa Sana ilitumika nimeamini upinzani Kuna majasusi yaliyokubuhu Yani maccm yameingia kwenye mtego na yamenasa kweli na ni doa kubwa sana ule uchaguzi maana tayari umeshaingia kwenye rekodi mbaya sana duniani.Hivi walifikiri upinzani kukubali kushiriki chaguzi zilizonajisiws na CCM walikua wajinga. Walikuwa wanakusanya evidence. Na ile ya RC kubebwa na polisi baada ya Mwikabe kushinda kwa magumashi
Meko alijisifu Sana eti "hata kususia uchaguzi nayo Ni demokrasia" kumbe wametegwa.Aiseee akili kubwa Sana ilitumika nimeamini upinzani Kuna majasusi yaliyokubuhu Yani maccm yameingia kwenye mtego na yamenasa kweli na ni doa kubwa sana ule uchaguzi maana tayari umeshaingia kwenye rekodi mbaya sana duniani.
Mkuu jinai haifi.Mwaka huu tutapambana nao kisayansi kila kauli ya uchochezi au picha zirekodiwe itatusaidia badae.Jinai inaeksipaya miaka kumi au na zaidi.
Hivi walifikiri upinzani kukubali kushiriki chaguzi zilizonajisiws na CCM walikua wajinga. Walikuwa wanakusanya evidences. Na ile ya RC kubebwa na polisi baada ya Mwikabe kushinda kwa magumashi
Nasikitika sana kuona tunahemea kushitaki mambo ya Tanzania nchi za nje, ingawa naelewa kwamba ikibidi inabidi, hamna jinsi.
Lakin bado haitasaidia!!!Mbowe organise vijana waingie msituni!!Operation Dai Demokrasia (ODD)!Angalau mtaitikisa serekali!!!!