Namtafutia kazi au nafasi ya kujitolea mdogo wangu

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
5,557
Reaction score
8,195
Habari wanajf,
Nina mdogo wangu kahitimu chuo kikuu kada ualimu masomo English na Kiswahili anaishi Dar es Salaam na Tanga

Hivyo basi kama kuna mwenye connection ya shule yoyote ya private katika mikoa hiyo naomba msaada wa kuniunganisha mdogo wangu apate nafasi ya kufundisha. Kuhusu level ya shule level yoyote anafundisha pia kama kuna mwenye connection ya shule ya kujitolea hasa ya Serikali naomba tuwasiliane nitashukuru Sana

Kuhusu malipo hata sio kipao mbele sana nitashukuru nikipata ushirikiano wenu namba 0683255226 ahsanteni
 
Anataka Shule za Dsm tu
 
Mikoa ya karibu kama vile pwani na morogoro pia anaweza kwenda kufanya interview au kujitolea mwenye connection ya mikoa hiyo pia tusaidiane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom