Namtafuta wangu niliyeahidiwa

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,465
Wakuu jambo sana!
Katika harakati za maisha wengi hukutana na kuchota busara nyingi za wazee wetu juu ya mustakabali mzima wa maisha yetu hususani katika maisha ya mahusiano ya kimapenzi.

Bibi na Babu zangu katika harakati zangu za makuzi mlinisihi mjukuu wenu kuwa nitulie na nisiwe na papara za maisha ya mapenzi lakini yote niliyatimiza.

Mliniambia kuwa nikitulia na wangu wa maisha huko aliko anatulia,nikizini naye huzini huko aliko,nikisikiliza mambo ya wakubwa naye hufanya vivyo hivyo lakini haya yote niliyavumilia bila kuyakiuka.

Bibi na babu zangu mlioko humu MMU sikuwahi kuivunja sharti hata moja lakini cha ajabu na kusikitisha mbona mara ya kwanza nlipokutana na binti mliyeniahidi alikuwa ameshabikiriwa?ingawa mimi ndiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza?yupo wapi wangu wa maisha?
 
haya endelea kumsubiri kwa hadithi hizo ...
 
Kama anakuhitaji endelea nae.kama uliamua ujitunze na wazee niwewe mwenyewe hukulazimishi na huyo mdada.akuamua kufanyakitu fanya wew usilazimishe mawazo wako yawe
 
Umejuaje kama hana bikra kama hujawahi kufanya ama kusikiliza mambo ya wakubwa? Anayo bikra ya kidijitali. Ipo lakini huihisi kama Bluetooth.
 
Back
Top Bottom