Habari za humu jamvini wakuu.
I hope mko poa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu namtafuta Stephen Mbwambo, nimepotezana nae miaka ya 80 mwishoni. Aliwahi kuwa mwajiriwa wa Shirika la Posta na aliwahi kufanya kazi huko Turiani Morogoro na pia Morogoro mjini.
Sifahamu kilichoendelea zaidi kwani sikuwahi kuwasiliana nae tena. Kwahiyo kama kuna mdau yeyote humu ndani ambaye anaweza kunipatia au kunitafutia habari za huyu ninayemtafuta nitashukuru sana. Tulikuwa tunaishi wote Turiani na kwa sasa ninahitaji sana kujua habari zake.
Natanguliza shukrani.