Namtafuta shemeji yangu aitwaye Edwin Augustino Mkupasi

Namtafuta shemeji yangu aitwaye Edwin Augustino Mkupasi

MBITIYAZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
14,947
Reaction score
26,086
Habarini waungwana wa JF!

Nahakika humu nitapata mwanga mkubwa wapi naanzia kumpata shemeji yangu !EDWIN AUGUSTINO MKUPASI

kifupi huyu kaka alimuoa dada yetu mwaka 2003!wakaja kuishi dar kunduchi
mwaka huohuo 2003 Baba mzaz akamkabidhi biashara fulan 'mkwe' (alimpa magari ma4 ayasimamie coaster mpyaa) kwa makubaliano kuwa atakuwa anadeposit kila mwezi amount waliyokubaliana !

Mwaka 2003 mwishon Mama akaning'ata sikio akaniambia dingi anashangaa mpka nw mkwe hajaweka chcht kile kwenye account ya baba yetu!sikuamini na hatukuamini ! ilibid tuamini baada ya baba kunipeleka kuchek balance(JAMANI SIPO HAPA KUMUANIKA SHEMEJI YANGU AU KUMSEMA MABAYA YAKE )

Kama mnavyojua neno mkwe baba akawa anashindwa kumuambia !mie nikamuambia sisy amwambie mumewe ! basi alipomwambia tu ndo mizozo ikaanza ndani yanyumba yao !

HATUKUJUA !

Basi kukatisha stry dada yangu alijifungua 2004 mtoto wa kwanza !baada ya miez ya mateso(hapo sasa ndo niishuhudia dadangu anavypigwa na shem !nilikua msichan mdg akaniambia nisiseme home kbs na kweli kwa ujinga na utoto nikaacha kusema !)

Mwaka huohuo 2004 shem akamuaga mke wake amepata dili la kupeleka familia 1 kutoka USA kwenda BUKOBA ! namanisha aliwapeleka na coaster na dreva ! bas since there shem akabadilika zaidi ! nadhan alipata pesa nyingi au sijui nn kilihappen hatujui !

Ghafla dada yangu akaja shtuka mumewe anachat na huyo dada alokodi coaster huyo dada naomba nimuweke kwenye mabano kwa sasa namjua kwa jina 1 tu !

Itaendelea

Kufupisha mambo shem akamuaga mkewe ilikua september kuwa anaenda njombe kwa sister ake atarud baada ya siku 3 !!ikapita week dada akawa akimchek anaambiwa hapatikani ! bas akaamua kumtafta dreva wacoaster moja akamuuliza yule kaka akashangaa akasema mbona boss kasafriri kaenda USA!?? bas dada kuzimia !

Jaman tuache mengine baba aliamua kumsamehe baada ya kugundua magari ameuza arusha kwa mama mmoja wa kiarabu ! kutoka hapo dada akawa hayupo sawa kbs akawa ameathirika kisaikolojia !

Hapa kilichonileta jaman mtoto anasumbua anamtaka baba yake ! mtoto ana akili sana za darasani lakini haoneshi moyo wa kusoma kbs anachotaka ni kumuona baba yake tu basi !
huyu kijana naye atakuwa ameathirika kisaikolojia ! mama na mtoto wote wameathirika kihisia vibaya sana ! popote ulipo shemeji yangu tunaskia stry zako nyingi nyingi kwamba mwaka huu ulirudi Tanzania.

TAFADHARI sana baba alishasamehe nakuambia ila bas msomeshe bas mwanao njoo hta kwa siku 3 ukae na mwanao jaman !mbona unamtesa dadangu hvyo wewe sijui ulimpa nn! dada anahangaika kukutafta maskini ya Mungu hajui anakupataje ameenda ukweni hawajampa msaada wowote ule !jaman mateso anayopata dada kwa huyu mtoto ni makubwa na hatak mwanaye achukuliwe na mtu yeyot yule !

Mtoto amekuwa anasoma mwez mmoja anakaa hom kwa miez 4 hatak kusikia kitu anamtaka baba yake ! bas mfanyieni mila za kwenu jaman tupumzike !

Shem najua upo USA lakini kumbuka mwanao wala sipo hapa kukuomba umrudie sisy hapana muokoe mwanao jamani atajitumbukiza kubaya mno mnoo ! ah nakosa la kusema mie !
 
Back
Top Bottom