Namtafuta sana huyu jamaa!

Namtafuta sana huyu jamaa!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,101
Namtafuta rafiki yangu wa kitambo hicho!Mara ya mwisho kuonana ilikuwa 2004 Arusha,Jina anaitwa Isaya Peter Makuluga au (Godi) kama upo hapa jamii forum njoo PM rafiki yangu nikupe mchongo
 
kungekuwa na jukwaa la "search and found" humu jamii forum, asee kungejaa member wengi sana humu, hasa sio kutafutana kienyeji hsa mtu utajuajeunatafutwa jukwaa lipi?
 
kungekuwa na jukwaa la "search and found" humu jamii forum, asee kungejaa member wengi sana humu, hasa sio kutafutana kienyeji hsa mtu utajuajeunatafutwa jukwaa lipi?
@maxencemelo
 
Back
Top Bottom