Mmh atakuja sasa hivi
na mimi namtafuta rafiki yangu wakike jina grolia tulipotezana mbeya mwaka2007 alielekea morogoro samahani kuingilia nafasi hii anayemfaham aniPM
na mimi namtafuta rafiki yangu wakike jina grolia tulipotezana mbeya mwaka2007 alielekea morogoro samahani kuingilia nafasi hii anayemfaham aniPM
Kama ni wewe, basi ni mimi.
I love u.
Mimi namtafuta Prof. muhongo tokea akate umeme sijamuona siku nzima!
Sijaielewa hii post , aliyeipost mpaka waliochamgia?? kama vipi lianzishwe jukwaa la kutafutana
niliwaona siku hiyo hata mimi nilkuwa kwenye hilo bus, si huyo jamaa alikuwa amevaa suruali na viatu vyeusi?Grolia nani?
Maana na mie naitwa Grolia na nilipotezana na mkaka mmoja hv mweupe tukiwa ndani ya basi,
namba yake ya simu ni 0784 546933.
Kama ni wewe, basi ni mimi.
I love u.
niliwaona siku hiyo hata mimi nilkuwa kwenye hilo bus, si huyo jamaa alikuwa amevaa suruali na viatu vyeusi?