koku oliyo, kandamubona ndamugambila
Namtafuta mtu anayeitwa Mr Omari Kiwanda.
Aliwahi kuwa mhasibu wa polisi wilaya ya Korogwe, then akahamishiwa Polisi Morogoro kwa kazi hiyo hoyo. Baada ya hapo mawasiliano naye yalipotea, tumefanya means zote za kumpata tumeshindwa.
Naomba kama kuna member yoyote ambaye anamfahamu au ana details za kumpata anisaidie. Just PM me and we can talk.
Its urgent, my mother need to communicate with him a very important matter.
Ahsanteni.
acha uongo ndugu .... kama anafanya kazi jeshi la poilisi kwanini usianze kuulizia kwa mwajiri wake polisi makao makuu
Mkuu njia rahisi ni kwenda huko huko polisi kuripoti kupotelewa na jamaa yenu. Atapatikana tu,tena polisi mwenzao... Mbona simpo.
Pole dada wala hujakosea.., watu huwa wanapotea ila endelea kutafuta na hii ni njia sahihi, pia nadhani hata kwenye Radio Free Africa huwa kuna kipindi cha watu waliopoteana.., pia jiunge pale as well...Siyo polisi mkuu. Ni mhasibu wa polisi, tumeenda huko hatukufanikiwa, walitujibu kuwa toka ahame hawana mawasiliano nae, na huko moro alikohamia pia alishaondoka, thats why nmejaribu humu.
Pole dada wala hujakosea.., watu huwa wanapotea ila endelea kutafuta na hii ni njia sahihi, pia nadhani hata kwenye Radio Free Africa huwa kuna kipindi cha watu waliopoteana.., pia jiunge pale as well...
Kumbuka watu wengine wakipotea huwa hawataki kuonekana tena (ndio maana sikushauri kwenda kwenye magazeti au njia nyingine, ya wazi sana) sababu wengine wakiona unawatafuta hivyo kama wezi wanaweza kujificha zaidi au kuwa embarrassed..,
Kwahio its okay endelea underground kumtafuta (ukizingatia hili ni jungu kuu halikosi ukoko) huenda kuna mtu alishakutana nae / atakutana nae...
Ila kama unamtafuta kwa shari (wizi au utapeli) basi unaweza kwenda even one step further ukaweka picha yake ili watu wamuone (wengine huwa wakipotea wanabadilisha na jina na life style yao)
Hope nimesaidia kwa ushauri, japo sijaweza kukupatia mtu wako
lero bakama bhange oija kukora iwee! shana olinde aija kuijaBoojo!