Namtafuta mtu huyu

KOKUTONA

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
8,649
6,088
Namtafuta mtu anayeitwa Mr Omari Kiwanda.

Aliwahi kuwa mhasibu wa polisi wilaya ya Korogwe, then akahamishiwa Polisi Morogoro kwa kazi hiyo hoyo. Baada ya hapo mawasiliano naye yalipotea, tumefanya means zote za kumpata tumeshindwa.

Naomba kama kuna member yoyote ambaye anamfahamu au ana details za kumpata anisaidie. Just PM me and we can talk.

Its urgent, my mother need to communicate with him a very important matter.

Ahsanteni.
 
acha uongo ndugu .... kama anafanya kazi jeshi la poilisi kwanini usianze kuulizia kwa mwajiri wake polisi makao makuu
 
Mkuu njia rahisi ni kwenda huko huko polisi kuripoti kupotelewa na jamaa yenu. Atapatikana tu,tena polisi mwenzao... Mbona simpo.
 
Unaponambia acha uongo unamaanisha nini wewe LAT?

Mimi si mjinga hadi kuja kupost huku, huyu mtu alifanya business na mama yangu mzazi, walikuwa wanawasiliana vizuri tu hata aliphamia Moro. Ghafla akawa hapatokani ktk simu, tumeenda huko polisi KOR wametwambia toka ahamie moro hawana mawasiliano nae na walitusaidia kuwasiliana nae huko moro wakaambiwa alishahama. Kumbuka yy si polisi ni mhasibu.

Mama yangu ni mzee sasa, and they have unfinish bussiness, so kunambia mimi muongo umeniudhi sana, sipendi kuwa provoked hasa km huna uhakika na mimi, So ingekuwa powa sana km ungekaa kimya tu na waliotayari kunisaidia wanisaidie.

Au ungenipa clue kuwa wasiliana na polisi makao makuu kwa namba hii na hii.

Tuheshimiane, simdharau mtu na sipendi kudharauliwa
 
Mkuu njia rahisi ni kwenda huko huko polisi kuripoti kupotelewa na jamaa yenu. Atapatikana tu,tena polisi mwenzao... Mbona simpo.

Siyo polisi mkuu. Ni mhasibu wa polisi, tumeenda huko hatukufanikiwa, walitujibu kuwa toka ahame hawana mawasiliano nae, na huko moro alikohamia pia alishaondoka, thats why nmejaribu humu.
 
Pole dada wala hujakosea.., watu huwa wanapotea ila endelea kutafuta na hii ni njia sahihi, pia nadhani hata kwenye Radio Free Africa huwa kuna kipindi cha watu waliopoteana.., pia jiunge pale as well...

Kumbuka watu wengine wakipotea huwa hawataki kuonekana tena (ndio maana sikushauri kwenda kwenye magazeti au njia nyingine, ya wazi sana) sababu wengine wakiona unawatafuta hivyo kama wezi wanaweza kujificha zaidi au kuwa embarrassed..,

Kwahio its okay endelea underground kumtafuta (ukizingatia hili ni jungu kuu halikosi ukoko) huenda kuna mtu alishakutana nae / atakutana nae...

Ila kama unamtafuta kwa shari (wizi au utapeli) basi unaweza kwenda even one step further ukaweka picha yake ili watu wamuone (wengine huwa wakipotea wanabadilisha na jina na life style yao)

Hope nimesaidia kwa ushauri, japo sijaweza kukupatia mtu wako :)
 
No bad madam. Maadam nimeshapata jina lake, mimi nitakusaidia kusaka kwenye misalaba ya makaburi na mortuaries kwani ndio kwenye shughuli zangu.

Unfinished business...that he do not want to hear about anymore!!!
 
Pole dada wala hujakosea.., watu huwa wanapotea ila endelea kutafuta na hii ni njia sahihi, pia nadhani hata kwenye Radio Free Africa huwa kuna kipindi cha watu waliopoteana.., pia jiunge pale as well...

Kumbuka watu wengine wakipotea huwa hawataki kuonekana tena (ndio maana sikushauri kwenda kwenye magazeti au njia nyingine, ya wazi sana) sababu wengine wakiona unawatafuta hivyo kama wezi wanaweza kujificha zaidi au kuwa embarrassed..,

Kwahio its okay endelea underground kumtafuta (ukizingatia hili ni jungu kuu halikosi ukoko) huenda kuna mtu alishakutana nae / atakutana nae...

Ila kama unamtafuta kwa shari (wizi au utapeli) basi unaweza kwenda even one step further ukaweka picha yake ili watu wamuone (wengine huwa wakipotea wanabadilisha na jina na life style yao)

Hope nimesaidia kwa ushauri, japo sijaweza kukupatia mtu wako :)

Ahsante my friend, for the great advice, i will work on them.

Be blessed.
 
kuuliza 5000 kukupeleka 15000.as long as muhasibu wa polisi ni PM namba zko nkupe mwangaza wa kumpata businesspatner wa mama.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom