Kama una rafiki yako ambaye anafanya kazi pale sayansi kijitonyama au mwembe jini, ukimuulizia kwa jina la kizungu hutampata. Ukimuulizia mama fulani pia hutampata. Utampata kwa kuulizia jina la ukoo.Wakuu umuofia kwenu,
Kuna dada alikuwa anasoma Mwl Nyerere baadae akaenda Ujerumani namtafuta sana mwenye kujua mawasiliano naomba msaada,
Pangu Pakavu
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 mie naamini kbs kama mwanamke alikupenda atakutafta juu chini muonane..huyo alikua anabuy tu tym na ww..poleniPole sana mkuu maana mimi ni miongoni mwa wanaokuelewa
unapitia hatua gani, mwenzio nimekuja kumuona tayari ana watoto watatu.
Mwaka gani amesoma na alikuwa anoma coz ganiWakuu umuofia kwenu,
Kuna dada alikuwa anasoma Mwl Nyerere baadae akaenda Ujerumani namtafuta sana mwenye kujua mawasiliano naomba msaada,
Pangu Pakavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyosema unatafuta Linda mawazo yangu yakaenda mbaaaaaali...Wakuu umuofia kwenu,
Kuna dada alikuwa anasoma Mwl Nyerere baadae akaenda Ujerumani namtafuta sana mwenye kujua mawasiliano naomba msaada,
Pangu Pakavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah huyu Kama bado anasoma " kama ningekuwa mwalimu kwenye shule anayosoma " ningeomba uhamisho haraka sana "mtoto mdogo mzigo hiha!!
Last time alikuja Bongo nikamkacha was so busy alimaindi sana, it's true yuko German, but I need to reconnectYuko northrhine westfalia German nilionana nae mwezi wa kwenye function moja iliyojumuisha wabongo na wakamerun
Ukajua malinda?Ulivyosema unatafuta Linda mawazo yangu yakaenda mbaaaaaali...
Enewei sina ene komenti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu msemo wa umuofia kwenu ulikua ukitumiwa na profesa wetu mnigeria chuoni kwetu alikua akifundisha cognitive disabilityWakuu umuofia kwenu,
Kuna dada alikuwa anasoma Mwl Nyerere baadae akaenda Ujerumani namtafuta sana mwenye kujua mawasiliano naomba msaada,
Pangu Pakavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyosema unatafuta Linda mawazo yangu yakaenda mbaaaaaali...
Enewei sina ene komenti
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha basiMkuu huu msemo wa umuofia kwenu ulikua ukitumiwa na profesa wetu mnigeria chuoni kwetu alikua akifundisha cognitive disability
Sent using Jamii Forums mobile app